Vikosi Fainali ya Spanish Super Cup

Leo ndiyo ile siku ambayo Real Madrid itamenyana na Athletic Bilbao katika fainali ya Spanish Super Cup Jumapili saa tatu na nusu usiku( 9:30 pm) saa za Afrika Mashariki ndani ya dimba la King Fahd International Stadium, huku pande zote mbili zikifanikiwa kuvuka hatua ngumu ya nusu fainali.

Los Blancos walipata ushindi wa 3-2 dhidi ya Barcelona baada ya muda wa nyongeza na kutinga fainali, huku mabingwa watetezi Athletic Bilbao wakifanikiwa kuwafunga mabingwa wa Uhispania Atletico Madrid 2-1 ndani ya dakika 90.

Kikosi cha Real Madrid: Courtois; Lucas, Militao, Alaba, Mendy; Modric, Casemiro, Kroos; Rodrygo, Benzema, Vinicius.

Kikosi cha Athletic Bilbao: Unai Simon; Oscar de Marcos, Yeray Alvarez, Inigo Martinez, Mikel Balenziaga; Alex Berenguer, Mikel Vesga, Dani Garcia, Iker Muniain; Oihan Sancet, Inaki Williams.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe