Kocha mkuu wa Barcelona Xavi Hernandez amemsifu beki wa kulia Sergino Dest kwa kiwango bora alichokionyesha kwenye mchezo dhidi ya Valencia ambapo Barcelona ilibuka na ushindi mnono wa 4-1 siku ya Jumapili.

Mchezaji huyo wa Marekani alirejea kwenye kikosi cha kwanza katika dimba la Mestalla na kocha alifurahishwa na jinsi alicheza kwa dakika zote 90.

“Sergino Dest anacheza vizuri sana,” alisema Xavi.

“Nimefurahishwa sana na maendeleo yake.

“Tulipowasili hakuwa akifanya vizuri na sasa anaendelea vizuri akiwa na hata bila mpira.”

Ingawa kulikuwa na uvumi mkubwa juu ya kama Dest angesalia kwenye klabu mwezi Januari, alichagua kusalia na kufanya bidii ili kupata nafasi kwenye timu.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa