NEYMAR

Kocha wa Barcelona Xavi amekanusha taarifa za kurejea mchezaji wa zamani wa timu hiyo  Neymar. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Hapo awali tetesi za uhamisho zilidai Mbrazil huyo, ambaye anaelekea kuondoka PSG, angekatwa mshahara mkubwa ili kurejea Barca. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Alipoulizwa kuhusu madai hayo, Xavi alithibitisha kwamba hamu ya kuhama inatoka upande mmoja tu. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

“Hii ni mshangao kinachosemwa kuhusu Neymar,” alisema. “Kinadharia hayuko kwenye mipango. Ninashukuru sana lakini kuna vipaumbele vingine. Eneo la michezo tayari linafahamu majina yote.”



JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa