Baadhi ya wadau wa soka nchini wameshauri kuwa suala la kurudishwa pesa za viingilio vya mashabiki litakuwa gumu kwa sasa hivyo ni bora kila timu ipewe mgawo sawa ili kufidia gharama na kusaidia maandalizi ya mechi ijayo ambayo itapangiwa tarehe nyingine.
Mshambuliaji wa zamani wa Taifa Stars, Zamoyoni Mogella amesema mgawanyo wa mapato kwa kila timu litakuwa jambo nzuri zaidi lakina kwa sharti la kuanza kuwapa adhabu kali waliofanya tukio hilo.
“Kugawanya mapato kwa timu zote ni ushauri mzuri sana, kwani endapo pesa hizo zitagawanywa nusu kwa nusu kwa timu zote mbili kila mmoja atalizika na kila timu itakuwa na amani, hata siku ikitangazwa mechi irudiwe mambo yatakuwa shwari .
Je, pesa zigawanywe pasu kwa pasu kwenye timu au zirudishwe kwa mashabiki?
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Hii kweli kali ya mwaka
Hizo hela zikigawiwa nusu kwa nusu hiyo siku ya kurudiwa mechi mashabiki wanaingia bure?
Asante kwa taarifa
Mmmh watakavyo amua sawa
Vizuri