Klabu ya Yanga SC imepigwa faini ya Tshs milioni 80.5 ($35,000) kosa la kwanza ni kuwasha fataki wakati wa mchezo dhidi ya Rivers United($10,000) Tukio la basi la Rivers United kuvamiwa na kuibiwa dola 5,200 za kimarekani na harufu mbaya yenye sumu, hapa wametozwa dola 25,000. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.


Matukio yote haya yalifanyika kwenye mechi a marudiano mkondo wa pili, kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dsm.
Yanga SC ilifanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali kombe la shirikisho Afrika kwa bao 1-0 goli walilofunga ugenini. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Mchezo wa kwanza hatua ya nusu fainali Yanga atacheza na Marumo Gallants ya Afrika Kusini Tarehe 10/05/2023 majira ya saa10 za jioni, unaweza kubashiri mechi hii kupitia meridianbet kwa odds kubwa na ushindi wa uhakika.
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

