Mpaka sasa kocha wa timu ya Yanga, Nabi ametua na wataalam wawili akiwa na kocha msaidizi wa kwanza Sghir Hammad na kocha wa mazoezi ya viungo Jawad Sabri sasa kuna wengine wawili wanashushwa.

Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Yanga, Dominic Albinius amesema mtaalam wa kwanza ambaye amesalia katika ujio wa Nabi ni mtu wa kuchambua ubora wa wapinzani.
Yanga Albinius alisema mtaalam huyo ambaye atatua nchini wakati wowote ndio raia wa kigeni aliyesalia katika benchi la Nabi. “Atakuja wakati wowote zipo taratibu anazimalizia kuzikamilisha huko aliko ili aje hapa nchini kufanya kazi,” alisema Albinius

Albinius aliongeza kuwa; “Kocha pia anataka atafutiwe mtu wa saikolojia kwa muda aliokaa na timu ameona kuna haja ya kuwa na mtu wa kazi hiyo. Amesema huyu mtu wa saikoloji anatamani awe raia wa Tanzania ili kuweza kuelewana na wachezaji wengi lakini atakuwa na faida ya kujua mazingira ya hapa kuliko akija mgeni.


PESA IPO HAPA KATIKA KASINO YA LUCKY LUCKY.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

yanga, Yanga Yashusha Wengine Wawili, Meridianbet

CHEZA HAPA

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa