Beki mkongwe anayekipiga katika klabu ya Sao Paulo, Brazil, Dani Alves, 38, amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Brazil kitakachoshiriki katika mashindano ya Olimpiki.

 

dani alves, Dani Alves Aitwa Kikosi cha Olimpiki., Meridianbet

Brazil wamepangwa katika Kundi D huku wakianza mchezo wao wa kwanza dhidi ya Ujerumani siku ya Alhamisi, wakifuatiwa na Ivory Cost na kufunga mzunguko wa kwanza dhidi ya Saudi Arabia.

Dani Alves alizungumzia hamu yake na malenngo yake ya kutaka kuitwa katika kushiriki katika mashindano ya kombe la dunia 2022.

“[Kombe la Dunia], kuwa mwaminifu, ndio lengo langu kubwa,” alikiri alipo ulizwa na FIFA.com. “Ilikuwa mshangao [mzuri] sana kupata wito wa Olimpiki, lakini tangu nilipoondoka PSG, nilijiahidi nitajitolea kila kitu kuwa kwenye Kombe la Dunia.
“Katika maisha lazima ujiwekee malengo makubwa na uyafuate. Unaweza kufanikisha, au labda hutaweza, lakini ikiwa sitaenda kwenye Kombe la Dunia ninaweza kuahidi kabisa haitakuwa kwa kukosa kujaribu.
“Ikiwa sistahili na mchezaji mwingine anastahili, nitakuwa msaidizi mkubwa wa Selecao.
“Lakini ninafikiria Kombe la Dunia kila wakati na ninajitolea kutimiza ndoto hii. Ingekuwa mwisho. ” alisema Dani Alves

FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa