Mchezaji wa tenesi namba 2 kwa ubora duniani (wanaume) – Daniil Medvedev, atakosekana kwenye mashindano ya Monte Carlo Masters baada ya kukutwa na maambukizi ya COVID19.

Medvedev amewekwa kwenye uangalizi maalumu akitibiwa kwa karibu zaidi na madaktari wa mashindano hayo. Hii ni habari mbaya kwa mashabiki wa mchezaji huyu ambaye atayakosa mashindano haya yatakayochezwa kwenye uwanja wenye tope.

“Lengo langu kwa sasa ni kurejea kwenye hali yangu na nirejee kwenye mashindano mapema zaidi kama itakuwa ni salama kufanya hivyo.” alisema Daniil Medvedev.

Jumatatu, Medvedev alifanya mazoezi sambamba na Rafael Nadal lakini atayakosa mashindano haya ambayo yanachezwa kuanzia Aprili 12-18,2021.


JILIPE KWA NAMBA ZAKO ZA BAHATI NA KENO

Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.

Daniil Medvedev, Daniil Medvedev Kuikosa Monte Carlo Masters, Meridianbet

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa