Ikiwa ni miezi kadhaa tangu ajiunge na Bayer Leverkusen mwezi Januari, 2021. Demarai Gray amesajiliwa Everton kwa mkataba wa miaka 3.

Gray alikuwa akiitumikia Leicester City kabla ya kwenda Leverkusen na sasa anarejea tena kwenye EPL akiwa chini ya Rafa Benitez.

Demarai Gray anakua ni mchezaji wa 3 kusajiliwa Everton kwenye dirisha hili la usajili akitanguliwa na Andros Townsend na Asmir Begovic.


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa