Mcheza Tennis namba moja kwa ubora duniani, Novak Djokovic amekiri kufanya makosa katika maamuzi baada kufanya mahojiano na mwandishi wa habari wa gazeti la ufaransa baada ya kuthibitishwa kuwa na corona.

 

djokovic, Djokovic Akiri Kuvunja Sheria za Covid-19., Meridianbet

 

Djokovic pia alihusisha kosa kwenye fomu yake ya tangazo la usafiri la Australia kama makosa ya kibinadamu kutoka kwa mtu wa timu yake ya usaidizi.

Djokovic aliandika taarifa ndefu kwenye akaunti yake ya Instagram siku ya Jumatano, iliyosomeka hivi: “Nataka kushughulikia taarifa potofu zinazoendelea kuhusu shughuli zangu na mahudhurio ya matukio ya mwezi Desemba na kuonekana niko positive na kipimo cha PCR COVID.

“Hii ni habari potofu, ambayo inahitaji kusahihishwa haswa kwa nia ya kupunguza wasiwasi mkubwa katika jamii kuhusu uwepo wangu nchini Australia, na kushughulikia maswala ambayo yanaumiza sana na yanayohusu familia yangu.

“Ninataka kusisitiza kwamba nimejaribu sana kuhakikisha usalama wa kila mtu na kufuata kwangu majukumu ya upimaji.

“Nilihudhuria mchezo wa mpira wa vikapu huko Belgrade mnamo Desemba 14, baada ya hapo iliripotiwa kuwa watu kadhaa walipimwa na kukutwa na Covid-19.

“Licha ya kutokuwa na dalili za COVID, nilichukua kipimo cha haraka cha antijeni mnamo Desemba 16 ambacho kilikuwa hasi, na kwa tahadhari nyingi, pia nilichukua vipimo rasmi na viliidhinishwa wa PCR siku hiyo hiyo.” aliongeza Djokovic.


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa