Fowadi wa Napoli Dries Mertens anatarajia kusalia Ubelgiji baada ya kujeruhi bega lake kwenye mechi dhidi ya Czech Republic. Kwa mujibu wa ripoti za La Repubblica.

Mertens alianza mechi vyema lakini baadaye alilazimika kubadilishwa baada ya kuanguka vibaya na kuumiza bega lake.

KWa mujibu wa chapisho la La Repubblica  nyota huyu hataweza kurejea Napoli na badala yake atasalia Ubelgiji na kikosi ambacho kinatarajia kuumana na Belarus kesho.

Dries Mertens Atasalia Ubelgiji

Bila shaka Napoli wangependa sataa wao arejee, ili kuepusha changamoto nyingine inayoweza kutokea, ikumbukwe alipata changamoto ya enka mwezi Disemba.

Nyota huyu mwenye umri wa miaka 33, amefunga magoli saba kwenye Serie A, kwenye mechi 18 alizocheza kati ya mechi 28 za msimu huu.

Napoli wanaendelea kupambania nafasi kwenye Ligi ya Mabingwa, wakiwa nyuma kwa pointi mbili dhidi ya Juventus na Atalanta kwenye 4 bora, hukuwa wakiwa na kibarua dhidi ya Juventus Aprili 7.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Mertens, Dries Mertens Atasalia Ubelgiji, Meridianbet

CHEZA HAPA

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa