EFL

Dias Ametajwa Mchezaji Bora wa Msimu Premier League

3
Ruben Dias Mchezaji wa kimataifa wa Ureno, aliyejiunga na City akitokea Benfica mwezi Septemba, ameshinda tuzo yake ya pili ya binafsi baada ya kutajwa kuwa Mchezaji bora wa msimu wa Chama cha Waandishi wa Soka mwezi uliopita. Aliibuka kidedea baada...
Sean Dyche

Sean Dyche; tofauti ya Beki anayelinda na Beki anayetaka kulinda

3
Sean Dyche aliwahi kusema kua Beki anaka kazi Moja tu Uwanjani ni kulinda lango la timu yake “Defending is a dying art,” Alizungumza hivi kocha wa Burnley Sean Dyche, nadhani ilikuwa 2016. Kumbuka Sean Dyche alicheza sana eneo la ulinzi...
Ratiba za soka

Ratiba za Soka Leo Ligi Mbalimbali

2
Ratiba za soka leo Jumanne Mei 25, 2021 katika ligi mbalimbali:- Tanzania - ASFC 16:00 Mwadui FC vs Young Africans England - National League 21:00 Altrincham vs Eastleigh 21:45 Barnet vs Maidenhead United 21:45 King's Lynn Town vs Solihull Moors International - Friendlies 17:30 Indonesia vs Afghanistan 18:00...
Jay Jay Okocha

Jay Jay Okocha Fundi Wa Mpira Aliye Staafu na Makali Yake

0
Binadamu hatuna adabu na mpira hauna fadhila. Ronaldinho Gaucho anaondoka kwenda Barcelona, Jay Jay Okocha anaenda Bolton Wanderers. Hakuna aliyelikumbuka jasho la Jay Jay Okocha nyuma ya Ronaldinho Gaucho. Hakuna aliyezikumbuka pasi za Okocha zilizompa Gaucho tuzo ya mchezaji bora...
Solskjaer

OLE: Nahitaji Watatu Wapya Kwa Ajili ya Msimu Ujao

2
Kocha Mkuu wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer, amesema kuwa anahitaji kuongeza nyota wapya watatu ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao. Kocha huyo ambaye msimu huu alikuwa katika ubora wake hasa mechi za ugenini ambapo hawajafungwa mchezo...
Simba

Ratiba za Soka Leo Ligi Mbalimbali

3
Ratiba za soka leo Jumamosi Mei 22, 2021 kwenye Ligi mbalimbali Ratiba ni kama ifuatavyo:- England - Championship: Play-off 14:30 Brentford vs AFC Bournemouth 20:30 Swansea City vs Barnsley England - League 1: Play-off 17:30 Sunderland vs Lincoln City England - National League 17:00 Aldershot Town vs...
Paul Scholes, Kiungo Aliyekamilika Idara zote

Paul Scholes, Kiungo Aliyekamilika Idara zote

3
Mwandishi mmoja aliwahi kuhoji kuhusu Paul Scholes lakini alichojibiwa hakukiamini. Yule mwandishi alimsogelea tena Socrates ili amsikie vizuri, ni kama masikio yake hayakuamini alichokuwa anasikia. “si umeniuliza kiungo bora wa katikati kwa sasa duniani? Basi jibu langu halitabadilika, ni mvulana...
Bruno Fernandes

Bruno Ashinda Mchezaji Bora wa Mwaka wa Man Utd

1
Kiungo Bruno Fernandes amechaguliwa kuwa mchezaji Bora wa mwaka wa Manchester United licha ya wachezaji wenzake kumpigia kura beki wa kushoto Luke Shaw. Fernandes amechaguliwa kuwa Bora na mashabiki. Kiungo huyo wa Kireno amepata asilimia 63 ya kura hizo za...
Tetesi za soka- Gervinho

Tetesi za Soka Barani Ulaya

2
Tetesi za soka barani Ulaya leo Jumanne Mei 18, 2021 zinasema:- Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa England Harry Kane kwa mara nyengine ameambia Tottenham anataka kuondoka katika klabu hiyo ya ligi ya England mwisho wa msimu huu. Manchester City, Chelsea na...
Ratiba za soka- man

Ratiba za Soka Leo Ligi Mbalimbali

9
Ratiba za soka leo Alhamisi Mei 13, 2021 katika Ligi mbalimbali ulimwenguni:- England - Premier League 20:00 Aston Villa vs Everton 22:15 Manchester United vs Liverpool Spain - LaLiga Santander 20:00 Real Valladolid vs Villarreal 21:00 Eibar vs Real Betis 23:00 Granada vs Real Madrid Italy -...

MOST COMMENTED

Maradona Ataendelea Kutawala, Ulimwengu Umepoteza Legendari

20
Ulimwengu wa soka umepoteza Legendari, na kumbu kumbu yake haitafutuka. Diego Maradona ataendelea kutawala. Huu ni mtazamo wa raisi wa Inter ambao unaungwa mkono...

HOT NEWS