Mchezaji kiungo wa kati wa klabu ya soka ya Liverpool, Emre Can anaweka wazi kwamba hajasaini makubaliano ya kujiunga na Juventus msimu huu!

Anasema kuwa kwa sasa bado anaongea na Liverpool ili aendelee kusalia pale Anfield alipo sasa. Emre Can ana umri wa miaka 24 kwa sasa.

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa