Wakati tukiendelea kuburudika na Euro 2020, EPL imetoa ratiba rasmi ya msimu wa 2021/22.  Mambo yananoga!

Mabingwa watetezi, Manchester City wataanza safari ya kutetea ubingwa wa EPL kwa kuchuana na Tottenham Hot Spurs, kibarua cha kwanza kwa kocha mpya wa Spurs.

Man United watakuwa Old Trafford kuchuana na Leeds United katika mchezo ambao unawakutanisha wapinzani wa muda mrefu.

Mabingwa wa Ulaya, Chelsea kuchuana na Crystal Palace, Palace bado anajitafuta katika mchakato wa kumpata mrithi wa Roy Hogdson.

Arsenal uso kwa uso na wageni wa EPL, Brentford katika dimba la Emirate. Norwich City kupambana na Liverpool kama ilivyokuwa msimu wa 2019/2020.

Kawaida ya Ligi Kuu soka nchini Uingereza, uhondo unapatikana zinapokutana timu kubwa kwenye ligi hii. Agosti 21, Arsenal watachuana na Chelsea kabla ya kuwafata Man City na Chelsea kuwaalika Liverpool wikiendi inayofata.


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa