Super Sunday, Mshike Mshike wa EPL Leo jumapili 21-06-2020

Liverpool wanaweza kupiga hatua ya karibu sana kubeba taji lao la kwanza la ligi baada ya miaka 30 wakati watakapokabiliana na maasimu wao wakubwa Everton Jumapili hii katika dimba la Goodison Park. ‘The Reds’ wamekuwa kwenye kiwango bora sana kwenye Ligi msimu huu na kwa sasa wanaongoza kwa tofauti ya alama 22 kileleni mwa msimamo wa EPL huku zikiwa zimebaki mechi tisa.

Kikosi cha Jurgen Klopp sasa kinahitaji kushinda michezo miwili tu kutwaa taji la Ligi na hakuna kitu inaweza kuwa furaha kwa mashabiki wa Liverpool kama kuchukua alama tatu kueleke ubingwa kutoka kwa wapinzani wao Everton.

Vijana wa Carlo Ancelotti bado wana nafasi ndogo ya kufuzu Ligi ya Europa kwa msimu ujao. Wako katika nafasi ya 12 alama saba tu nyuma ya Sheffield United iliyopo katika nafasi ya sita.

Everton Kama wataweza kufuzu mashindano ya Europa utakuwa msimu mzuri kwao kutokana na ambavyo walianza vibaya sana na hata kumfukuza kocha Marco Silva mapema msimu huu.

Je! Everton Wanaweza kupata matokeo leo na kutengeneza mazingira ya kufuzu Europa? Au Liverpool watachukua alama tatu kuusogelea ubingwa wa Ligi?
Michezo mingine Leo EPL:
Newcastle v Sheff Utd (16:00)
Aston Villa v Chelsea (18:15)

51 Komentara

    Ahsante kwa taarifa #meridianbettz

    Jibu

    Leo patachimbika siyo pao

    Jibu

    Inawezekana kubebe ubingwa.

    Jibu

    Leo game tamu kuliko zote Liverpool vs everton.#meridianbettz

    Jibu

    Evarton kama wataweza kufuzu mashindano ya Europa utakua msimu mzuri kwao

    Jibu

    Liverpool ubingwa wao wawape tu jmn ila leo lazima kieleweke atoki mtu kwenye runinga

    Jibu

    Liverpool lazima wachukue point 3 leo..nawaombea sana

    Jibu

    Mmh mechi za kibabe leo epl lakini mechi itakaosisimua ni ya watani liverpool na eveton

    Jibu

    Don’t miss🙉🙉🙉

    Jibu

    Leo ndio leo gam yakibabe Livepool mtanange watari

    Jibu

    Liverpool nawaelewa sana na pia watapata ubingwa

    Jibu

    Liverpool anaweza akalala ushindi

    Jibu

    Hawa Everton walimsema sana kocha wao Marco hadi kumtimua sasa leo wataweza kudhibitisha kuwa kocha alikuwa anawapoteza au walikuwa wanapotezana leo siyakukosa hii mechi

    Jibu

    Leo ndio leo gam yakibabe Livepool mtanange watari

    Jibu

    Hakika hii ni mechi nzuri sana

    Jibu

    Leo patachimbika

    Jibu

    Weekend hii hainipiti ivi ivi lazima nidake mkwanja wangu sio kwa mechi Kama hizi jamvi linaandaliwa

    Jibu

    lazima afe mtu apo

    Jibu

    Liverpool lazima achukue ubingwa ilo halina mpinzani

    Jibu

    Mechi ya Everton vs Liverpool haijawahi kuwa nyepesi hata kidogo. Everton inaweza ishangaza dunia kwa kushinda mechi ya leo#meridianbettz

    Jibu

    Leo mechi zote kali si epl wala la liga ila hii ya Liverpool kazi ipo leo maana huawaga si nyepesi kupata ushindi inawezekana everton wakawacheleweshea ubingwa Liverpool leo

    Jibu

    Hili bonge la mechi leo yani kama naona Liverpool anakalia 3 kwa lao moja #meridianbettz

    Jibu

    Leo mechii kalii kinoma

    Jibu

    Leo si ndio leo sasa kweli hii ni super sunday

    Jibu

    Goodeson park uwanja wa everton kitachimbika pale ,vinara hao wa uingereza wakikipiga na waasimu wao everton.huku liverpool wanahitaji arama3 ili kuendelea kujikita kileleni

    Jibu

    Mpango mzma ndio leo wadau

    Jibu

    Mtanange hatari mashabk tunasubr kwa hamu..

    Jibu

    Mechi mojaa kalii

    Jibu

    Maoni:patakua hapatoshi leo

    Jibu

    Its a derby But hali ya Liverpool ni ya ubingwa Huyu Richarlison atajuta kuongea shit leo

    Jibu

    Ah bonge game lipo 50 Kwa 50

    Jibu

    Mechi za leo zina ushindani sana

    Jibu

    kiukweli yani hapo kwa everton kumfunga livepool daah ni ndoto coz live yupo kwe form yan inabidi afanye kaz kweli

    Jibu

    Hatari tupu sijua Kama Liverpool wataendeleza ushindi leo

    Jibu

    Leo ushindi lazima kwa vijana wa Klop

    Jibu

    Hii ni ngoma baada ya ngoma Epl

    Jibu

    Mapema.tu kideoni

    Jibu

    mechi ya kuitazama ni liver tu

    Jibu

    Ilikuwa bonge la mechi

    Jibu

    Mambo EPL ni mazuri watu tumejua kujinyakulia Sana ela

    Jibu

    Lazima Liverpool ashinde ili aendelee kutetea nafasi yake

    Jibu

    Ila Liverpool wamesotea sana hili Taji acha tu wapate ushindi wazidi kusonga#Meridianbettz

    Jibu

    Jino kwa jino

    Jibu

    yaani ilikuwa bonge la mechi ilikuwa hadi raha#meridianbettz

    Jibu

    Mechi Kal sana hizi

    Jibu

    Mechi ya Everton vs Liverpool haijawahi kuwa nyepesi hata kidogo

    Jibu

    Hii mechi atari ila %zote Nampa liverpool

    Jibu

    Mechi zote kali wasipoangalia Liverpool watakalishwa

    Jibu

    Hatari sana hii

    Jibu

    Hii sio yakukosa

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

Acha ujumbe