Klabu ya Everton imepanga kujenga uwanja mpya ambao utawagharimu kiasi cha £500million ambapo makubaliano na kampini ambayo inakwenda kujenga uwanjwa kwenye eneo la ramley-Moore Dock wamefikia makubaliano.

Japokuwa gharama za vifaa kupanda na gharama za usafirishaji duniani kuwa juu, Everton wamekubaliana na kampuni ya ujenzi kuwa hakuna ongezeko lolote ambalo litafanyika, na mradi unatarajiwa kukamilika kwa wakati uliopangwa ingawa gharama ya bajeti hiyo ilikuwa ni ya mwaka 2018.

everton

“Haya ni makubaliano muhimu kwa klabu na kwa mradi wa uwanja, kwa sasa tunaweza kufunga gharama za ujenzi, wakati tukifaidika kutokana uchumi wa Laing O’Rourke ambao hauna mabadiliko ya soko.

“Mr Moshiri na bodi kwa ujumla wamejidhatiti na mradi ili ubaki usiondolowe, na tumekuwa na furaha na maendeleo mazuri mpaka sasa.” Barrett-Baxendale alisema

Awali ilitarajiwa kuwa mradi huo ungesimama kutoka na klabu ya Everton kupata hasara ya £372milion kwa miaka mitatu mfululizo iliyopita.

Ujenzi wa uwanja huo ulianza mwaka 2021 kwenye majira ya kiangazi na unatarajiwa kukamilika mwaka 2024 majira ya kiangazi. Na uwanja huo mpya unatarajiwa kuwa na uwezo wa 52,888.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa