Mmiliki wa zamani wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich amepinga taarifa iliyodai kuwa amehitaji malipo ya deni la £1.5billion ambapo taarifa ya kudai kuwa deni lake alihitaji kulipwa lilileta taharuki kwa mteja mpya ambae alihitaji kununua klabu hiyo.

Roman Abramovich mapema aliweka wazi kuwa ataisamehe klabu ya chelsea deni ambalo alikuwa anaidai baada ya kutangaza kutaka kuiza klabu hiyo kufuatiwa kwa nchi ya urusi kuivamia nchi ya ukraine na kepelekea kuwekewa vikwazo na serikali ya Uingereza.

Roman Abramovich, Roman Abramovich Sijaomba Chelsea Kunilipa £1.5billion, Meridianbet

Siku za karibuni serikali imekuwa na wasiwasi na Roman Abramovich, kuwa anaweza kubadili mawazo yake na kufanya maamuzi ambayo yatawafukuza wanununuzi wapya ambao wapo kwenye mchakato wa kutaka kuinunua klabu hiyo.

Abramovich ametia neno kwenye hilo na alisisitia kuwa hajapeleka ombi lolote la kutaka kulipwa lakini pesa hizo hata kama zitalipwa zitazuiliwa.

“Mr Abramovich hajaomba kulipwa aina yoyote ya mkopo  na mapendekezo ya namna hiyo yote ni ya uongo, na mapendekezo ambayo yanasema ameongeza bei ya klabu hiyo. kama sehemu ya Mr Abramovich kusudi lake ni kutafuta watu sahihi ambao wataiendesha klabu ya chelsea  na amekuwa akisisitiza uwekezaji zaidi kwa mnunuzi mpya.” Waraka ulisema


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa