Roy Hodgson Kustaafu Baada Msimu Kuisha

Roy Hodgson ametangaza nia yake ya kustaafu kufundisha soka baada ya kumaliza muda wake kuisha wa kuinoa klabu ya Watford msimu huu na hatarudi tena kwenye maswala ya kufundisha soka.

Roy Hodgson alishastaafu kufundisha soka kabla ya kuombwa mwezi January kurudi na klabu ya Watford ambayo kwa sasa ipo kwenye nafasi ya kushuka daraja na kwenda kucheza ligi ya Championship.

Roy Hodgson
Roy Hodgson

Hodgson kocha wa zamani wa timu ya taifa ya uingereza ameweka wazi kuwa ataachana na maswala yote ya soka pindi tu mkataba wake utakapoisha majira ya kiangazi msimu.

“Bila shaka ni mkataba wa muda mfupi,” Roy Hodgson allimbia Sky Sports

“Hakika, niliwaweka wazi bodi ya wakurugenzi ya Watford, kuwa ni mkataba wa muda mfupi, moja kati ya sasa na mwisho wa msimu. Niilichukua kazi kutoka kustaafu ili kufanya kafaniki kazi hii.

“Kwa bahati mbaya muda umekwisha, nimefurahai ,muda wangu niliutumia kufanya kazi. Na sidhani kama naweza kunirudisha jina langu tena kwenye aina yoyote ya soka kwenye ligi kuu.

“Kwenye ulimwengu wa soka kuna mahitaji mengi na nadhani nimepata vya kutosha ni muda sahihi wa kuachia ngazi na kufurahia muda wangu wa ziada na mke wangu na kijana wangu.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

Acha ujumbe