Uchambuzi EPL, Vikosi na Odds Liverpool vs Crystal Palace

Wiki ya tano katika EPL inaanzia na michezo kibao mchezo wa mapema kabisa utakuwa kati ya Wolves dhidi ya Brentford muda wa saa nane na nusu mchana (2:30 pm) saa za afrika mashariki harafu itafutaiwa na mechi nne majira ya saa 5:00 jioni. Hapa acha tuangalie mchezo wa Liverpool na Crystal Palace.

Taarifa za timu 

Liverpool
Mshambuliaji wa Liverpool Robert Firmino ataukosa mchezo wa tatu mfululizo kwa sababu ya jeraha la harmstring lakini anatarajia kurejea mazoezini wiki ijayo.

Hordan Henderson katika eneo la Harvey Elliott ambaye amefanyiwa upasuaji katika kfundo cha mguu kufuatia kuumia katika mchezo na Leeds Jumapili iliyopita.

Crystal Palace
Odsonne Edouard , Michael Olise na Will Hughes waliyosajiliwa katika dirisha lililopita wote wanatarajiwa kuanza katika mchezo wa leo.

Luka Milivojevic alitokea benchi mchezo uliyopita baada ya kuwa nje ya dimba kwa miezi minne.

Rekodi za Kukutana

Liverpool wameshinda mara saba katika Preimier League dhidi ya Crystal Palace na kufunga mabao 24 na kuruhusu mabao matano pekee.

The Eagle wamepoteza kile mchezo katika ziara nne walizokwenda Anfiled lakini waliweza kupata ushindi mara tatu mfululizo hapo nyuma.

Kikosi cha Liverpool Kinachoweza kuanza: Alisson; Alexander-Arnold, Van Dijk, Matip, Robertson; Fabinho, Henderson, Thiago; Salah, Jota, Mane

Kikosi cha Crystal Palace Kinachoweza Kuanza: Guaita; Ward, Andersen, Guehi, Mitchell; McArthur, Kouyate, Gallagher; Ayew, Edouard, Zaha

ODDS BOMBA

Timu zote zifunge na yapatikane magoli matatu zaidi [GG&3+ odds ni 2.31]

Timu zote zifunge na wa nyumbani afunge magoli zaidi ya mawili [GG&H2+ odds ni 2.49]

Timu zote zifunge na yapatikane magoli zaidi ya manne [GG&4+ odds ni 3.10]

Kwa urahisi zaidi Gusa Hapa kubashiri mchezo huu na mingine mingi.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe