Kocha mkuu wa klabu ya Ajax, Erik Ten Hag, amefikia makubaliano ya kuongeza mkataba wa kuendelea kuifundisha timu hiyo. 

Kabla ya kuongeza mkataba huu, Erik alikuwa anamaliza mkataba wake ifikapo Juni 30, 2022. Makubaliano ya mkataba mpya, yatambakiza Erik Ten Hag kwenye nafasi yake ya kocha mkuu wa Ajax mpaka Juni 30, 2023.

Mpaka sasa, Erik amedumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu akiiongoza Ajax kwa mafanikio makubwa.

Erik Ten Hag, Erik Ten Hag Aongeza Mkataba Ajax., Meridianbet

Ajax wameweza kutwaa ubingwa wa ligi soka nchini Uholanzi (Everdise) mara 2 na huenda wakatwaa ubingwa wa 3 msimu huu endapo watapata pointi 1 kwenye mchezo yao iliyosalia msimu huu. Aliiongoza Ajax kufikia hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa (2018/19).

2020/21, Ajax walimaliza katika nafasi ya 3 kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa na hivyo kufuzu kucheza Ligi ya Europa. Haukuwa ni msimu mzuri kwa Ajax kwenye Europa msimu huu. AS Roma waliikatisha safari yao baada ya kuwaondoa kwenye hatua ya robo fainali.

Kabla ya kusaini mkataba mpya, Erik Ten Hag alianza kuhusishwa na klabu ya Tottenham ambayo ipo sokoni kumtafuta mbadala wa Jose Mourinho kuanzia msimu ujao.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

17 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa