Christian Eriksen hataweza kuendelea kucheza katika Serie A – na soka la Italia kwa jumla – isipokuwa kama defibrillator yake itaondolewa, mtaalam anayeongoza wa kisayansi wa Italia amethibitisha.
Eriksen Hawezi Tena Kuendelea Kucheza Italia
Eriksen akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata tatizo la moyo kwenye mchezo wa ufynguzi wa Euro 2020 dhidi ya Finland

Eriksen amewekewa kifaa kinachoweza kuusadia moyo kufuatia shambulio moyo uwanjani wakati wa mchezo wa ufunguzi wa hatua ya makundi ya Euro 2020 dhidi ya Finland, na kifaa kilichoundwa kurekebisha miondoko isiyo ya kawaida.

Ingawa mchezaji huyo wa Inter bado hajadhihirisha kama ana nia ya kurudi kwenye soka, kwani hii itathibitisha kuwa hana shida zaidi ya moyo.

Msimamo huu umesisitizwa na Francesco Braconaro, mshiriki wa kamati ya kiufundi ya Shirikisho la Soka la Italia.

“Christian Eriksen hawezi kupewa nafasi kamili ya kucheza nchini Italia,” Braconaro aliiambia Radio Kiss Kiss.

“Kama mchezaji huyo ataondoa kiboreshaji, hiyo itathibitisha ugonjwa huo unaweza kutatuliwa, basi anaweza kucheza Inter tena.”

Eriksen Hawezi Tena Kuendelea Kucheza Italia

Hii inamaanisha kuwa Eriksen ana chaguzi mbili kama angependa kurejea kwenye mpira wa miguu. Chaguo la kwanza ni kuondolewa kiboreshaji.

Pili, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 anaweza kutazama kucheza kwenye ligi nyingine ambapo wachezaji wanaruhusiwa kucheza na defibrillator, kama ilivyo kwa Daley Blind, ambaye bado anacheza Ajax huko Eredivisie baada ya kugundulika kuwa na matatizo ya moyo mwezi Desemba 2019.


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa