Timu za Espanyol na Real Mallorca ambazo zilishuka daraja msimu uliopita, zimekata tiketi ya kushiriki Ligi kuu Hispania (La Liga) tena kwa msimu wa 2021/22.

mallorca

Real Mallorca wao chini ya kocha wa zamani wa Villareal, Luis Garcia, walikua na rekodi binafsi msimu huu ya kucheza mechi 17 bila kupoteza.

mallorca, Espanyol, Mallorca Ndani ya La Liga 2021/22, Meridianbet
Luis Garcia

Hii ni mara ya tatu tu tangu mwaka 1990 timu mbili kushuka na kupanda tena kwa pamoja msimu unaofuata katika La Liga.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

mallorca, Espanyol, Mallorca Ndani ya La Liga 2021/22, MeridianbetBASHIRI SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa