Chiellini Athibitisha Kustaafu Kuchezea Timu ya Taifa
Nahodha wa timu ya taifa ya Italia Giorgio Chiellini amethibitisha kwamba atastaafu kuichezea timu ya taifa ya Italia mwishoni mwa msimu huu baada ya kumenyana na Argentina katika uwanja wa Wembley Juni 1.
Beki huyo wa miaka 37 amecheza mechi...
Roberto Mancini Kuendelea Kuinoa Italia
Roberto Mancini ataendelea kuinioa timu ya taifa ya Italia licha ya timu yake kushindwa kufuzu mashindano ya kombe la Dunia kwa mara ya pili mfurulizo mara ya kwanza ilikuwa nchini Urusi na mwaka huu nchini Qatar.
Roberto Mancini aliongoza timu...
Sancho na Rashford Waachwa Kwenye Kikosi cha Uingereza
Mshambuliaji wa timu ya Manchester United Marcus Rashford na winga wa timu hiyo ambaye kwa sasa yuko kwenye kiwango kizuri Jadon Sancho wameachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ambacho kitacheza kwenye michezo dhidi ya Switzerland na Ivory Coast...
Eriksen Arejea Tena Timu ya Taifa ya Denmark
Christian Eriksen ameitwa tena katika kikosi cha timu ya taifa ya Denmark kwa mara ya kwanza tangu alipota tatizo la moyo mwaka jana wakati wa mashindano ya Euro 2020.
Denmark wanajiandaa kwaajili ya michezo ya kirafiki dhidi ya Uholanzi na...
Eriksen Asaini na Brentford Mpaka Mwisho wa Msimu
Klabu ya Brentford imempa dili ya mkataba mpaka mwisho wa msimu mchezaji Christian Eriksen ambaye alikuwa ni mchezaji wa Inter Milan siku ya Jumatatu ambapo ndiyo mwisho wa usajili wa Januari.
Mchezaji huyo wa miaka 29 anapasa kufaulu vipimo kujihakikishia...
Jorginho: Nitaleta Motisha kwa Wachezaji Wasio Funga Magoli
Jorginho ni mmoja wa wagombea wa tuzo ya Ballon d'Or 2021 ambao wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka mshindi kufuatia kuwa na msimu mzuri uliyopita akifanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa na Euro 2020.
Sasa kiungo huyo wa Chelsea anaamini...
Inter Milan Kumuweka Sokoni Christian Eriksen
Inter Milan wametangza kumuweka kiungo wao mshambuliaji Christian Eriksen sokoni kutokana na sheria za Serie A zinazomzuia kutokucheza mashindano yeyote kwenye ardhi ya Italia.
Christian Eriksen ambaye alianguka kwenye mchezo wa EURO 2020 dhidi ya Finland na kuwaishwa hospitali kutokana...
Lukaku: Siwezi Kujifananisha na Ronaldo
Mshambuliaji wa Chelsea Romelu Lukaku anafurahi kumwona Cristiano Ronaldo amerudi kwenye Premier League lakini kamwe hatothubutu kulinganisha rekodi yake na ile ya fowadi wa Manchester United.
Ronaldo aliandika historia siku ya Jumatano kwa kuwa mfungaji bora wa muda wote katika...
UEFA: Jorginho Ashinda Mchezaji Bora wa Kiume
Katika hafla ya UEFA kusherehekea kuanza kwa msimu mpya wa mpira wa miguu, tuzo zilitolewa kwa wachezaji bora wa mwaka uliopita, na Jorginho akitoka kimasomaso na tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa wanaume, kwa kiwango chakcha kushinda Ligi...
Marc-Andre ter Stegen Arejea Mazoezini
Ronald Koemann amepokea taarifa njema siku ya Ijumaa kwamba Marc-Andre ter Stegen amerudi kwenye mazoezi na wachezaji wa Barcelona baada ya kukamilisha utaratibu wa matibabu kufuatia kufanyiwa upasuaji alifanyiwa mwisho wa msimu uliyopita.
Kwa siku zijazo golikipa huyo ataongeza kasi...