Ben White Achukua Nafasi Ya Trent Euro 2020

Beki kisiki wa klabu ya Brighton, Ben White ametajwa kuwa mrithi wa nafasi iliyoachwa wazi ya Trent Anrold kwenye kikosi cha Uingereza baada ya mchezaji huyo kupata majeraha kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Austria juzi.

Ben White alikuwa miongoni mwa wachezaji 32 wa kikosi cha awali cha wachezaji wa Uingereza walioitwa kabla ya kuchaguliwa wale 26 waliohitajika kuisaidia Uingereza kwenye michuano ya EURO 2020.

Nafasi iliyoachwa wazi wa Trent Anorld ilionekana kuweza kuzibwa na Lingard, James Ward au Ben White, na inaonekana Kocha Southgate ameamua kumpa beki huyo nafasi ili akasaidiane na Harry Maguire pale katikati.

Kitendo cha White kuchukua nafasi ya Trent Anorld limeonekana kushangaza wengi kutokana na mategemeo ya wengi ambao walidhani itakuwa nafasi ya Lingard kutokana na mchezo mzuri alioonesha kwenye ushindi wa moja bila dhidi ya Austria.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

3 Komentara

  Safi sana

  Jibu

  Nice big deal kwake

  Jibu

  Safi

  Jibu

Acha ujumbe