Unaambiwa aliyepitia shida achoki kutafuta mafanikio, mchezaji wa Juventus Demiral anasema anashangazwa sana na namna ambavyo Ronaldo anaendelea kutaka mafanikio zaidi licha ya kuwa na vitu vingi sana aliyovipata.

Demiral anadai kuwa huwa anawasaa maalum anafundisha kituruki pale Juventus na kati ya watu ambao wanashiriki madarasa bila kukosa basi CR7 anaongoza kwa kasi kubwa sana.

Demiral pamoja na wachezaji wengi wa Juventus wanashangaa sana hari ya kutaka mafanikio aliyonayo Ronaldo licha ya tu ya kuwa uwanjani hata nje pia ni mtu mwenye hulka ya kutaka kupata zaidi.

Ronaldo ni miongoni mwa Wachezaji wachache sana wenye kuongea Kiufasaha lugha kubwa kama English, Kihsipaniola, Kireno huku Kifaransa akiendelea kujifunza.

Hivi karibuni Ronaldo alitoa ujumbe ulioelezea mafanikio yake na namna ambavyo ana mipango ya kutaka mafanikiio zaidi kadri atakavyoendelea kucheza soka na maisha yake katuja jamii.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa