Zikiwa zimesalia siku mbili tu, ile michuano inayozikutanisha timu kubwa za taifa za ulaya ya EURO 2020 itafanyika. Michuano hii ambayo ilizuiwa kwa muda kutokana na suala la Korona, itaanza rasmi tarehe 11 Juni mpaka Julai 11 mwaka huu.

Katika EURO 2020, Kutakuwa na timu 24 zitakazocheza katika miji zaidi ya 11, huku akitafutwa mbabe mmoja tu. Timu hizo zimewekwa kwenye makundi 6, na timu mbili kutoka katika kila kundi zitatinga raundi ya 16, huku zile tatu nyingine za juu zitafuata.

Kuna taarifa muhimu kujua kwenye kutinga raundi inayofuata ya EURO 2020. Endapo katika kundi moja timu kadhaa zitakuwa na alama sawa, basi kutaangaliwa tofauti ya magoli yaani goal difference.

Kama timu kutoka katika kundi moja kati ya makundi 6, zitakuwa na idadi sawa ya tofauti ya magoli, basi itatumika mfumo wa head to head. Huu ni mfumo wa kumtafuta mshindi kwa kuangalia mechi walizokutana timu na nani alishinda mechi iliyopita.

Kwa mfano mwaka 2016, Italy na Belgium walikuwa kwenye kundi moja na walikuwa na alama na tofauti sawa ya magoli, ila ni Italy ndio waliopita kutokana na kuwa na ushindi wao wa nyuma wa 2-0 katika mchezo wa mwisho waliokutana.

Cha msingi ni timu zote kuhakikisha zinashinda magoli mengi kadri iwezavyo ili kujihakikishia kushinda michuano hii ya EURO 2020 na kuwa bingwa wa michuano hii iliyojawa na wachezaji wakubwa.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa