Msimu wa soka umekamilika sasa, mazungumzo tayari yamegeukia kwenye Ballon d’Or, na wagombea kadhaa wanaibuka wakati wa msimu huu wa Copa America na Mashindano ya Ulaya. Lakini ni nani wanaoongoza? …
Makala nyingine
Wachezaji watano wa Chelsea wanatarajia kushiriki katika fainali ya Euro 2020 ambapo England watamenyana na Italy katika dimba la Wembley siku ya Jumapili jioni. Jorginho,Emerson Palmieri watakuwa wanaiwakilisha Italia, wakati …
Mchezaji wa Arsenal na timu ya taifa ya Uingereza, Bukayo Saka amedai kuwa katika wachezaji ambao wanamfanya acheke sana na kumfurahisha basi ni nyota wa zamani wa Borussia Dortmund, Jadon …
Sterling kuwa mchezaji bora wa mashindano ya Euro 2020? hili ni moja ya maswali mengi sana miongoni mwa wadau wa soka zikiwa zimesalia siku mbili tu kabla ya kupigwa ile …
Didier Deschamps ataendelea kuwa mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya Ufaransa, rais wa Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) amethibitisha. Deschamps alisimamia kampeni ya Euro 2020 wakati Ufaransa ilipotupwa …
Raheem Sterling anadai kwamba kulikuwa na madhambi kutoka kwa mchezaji wa Denmark Joakim Maehle kabla hajakwenda chini na kupelekea peanti iliyowapa ushindi Uingereza katika nusu fainali ya Euro 2020. Uamuzi …
Adidas wameleta mpira ambao utatumika kwa nusu fainali ya Euro 2020 na fainali, na inajumuisha Uwanja wa Wembley ambapo michezo mitatu ya mwisho itachezwa. Uniforia Finale, kama unavyoitwa, ina michoro …
Licha ya Licha ya Paris Saint-Germain na Real Madrid kuwa na nia ya kumsajili Eduardo Camavinga, hakuna timu yoyote na Real Madrid kuwa na nia ya kumsajili Eduardo Camavinga, hakuna …
Nicolas Anelka alianza soka lake huko Paris Saint-Germain na, ingawa baadaye alirejea, aliondoka akiwa na umri mdogo kujaribu mwenyewe kwenye vilabu vikubwa. Hivi ndivyo mtu huyo wa miaka 42 amemtaka …
Timu ya taifa ya Uingereza chini ya kocha Southgate imefanikiwa kujiwekea rekodi bomba sana mpaka sasa baada ya hapo jana usiku kuibuka na ushindi wa 4-0. Uingereza imefanikiwa kutinga hatua …
Wakati Italia ikijiandaa kukabiliana na Ubelgiji katika robo fainali ya Euro 2020 huko Munich Ijumaa jioni, wanajua kuwa matokeo yanategemea kama wataweza kumzuia mchezaji wanayemjua vizuri: Romelu Lukaku. Lukaku amekuwa …
Alvaro Morata anasema anajua ni kwanini amekuwa akipigiwa buu! wakati wa Euro 2020 lakini hajawa tayari kuzungumzia sababu hadi baada ya mashindano kumalizika. Mshambuliaji huyo wa Juventus amefunga mara mbili …
Kylian Mbappe alikosa penati ya tano ya Ufaransa dhidi ya Switzerland katika michuano ya Euro 2020 na Les Blues kutolewa kwenye mashindano, kwa hiyo sasa masikio yote yamegeukia katika hatma …
Luis de la Fuente ametaja kikosi cha wachezaji 22 kwa Mashindano ya Olimpiki, wakati Uhispania inakwenda kutafuta medali ya dhahabu. Licha ya kutajwa kama mtu anayeweza kucheza kwenye michuano hiyo, …
Juni 28 2021 itakuwa ambayo Kylian Mbappe ataikumbuka kwa muda mrefu, baada ya bahati mbaya ya kukosa penati dhidi ya Switzerland kumuangukia na Ufaransa kuondolewa lwenye michunao ya Euro 2020 …
Mambo yanazidi kunoga katika michezo ya hatua ya 16 bora kwenye Euro 2020. Hakika matokeo ya baadhi ya michezo, yanashangaza! Nani aliwaona Czech Republic wakiwatoa Uholanzi au Croatia vs Spain …
Maajabu yameendelea kuonekana katika michuano ya Euro 2020 baada ya hapo jana bingwa mtetezi wa kombe hilo Portugal akitolewa na Belgium kwa kukubali kichapo cha goli 1-0. Mechi ya Portugal …
Gareth Bale amezungumzia juu mipango yake ya kustaafu kucheza soka la kimataifa na timu yake ya taifa ya wales baada ya kumalizika kwa mchezo wa Euro 2020 waliyopoteza kwa 4-0 …
Croatia watalazimika kucheza bila mchezaji wao Ivan Perisic ambaye amepata maambukizi ya Korona pindi watakapocheza dhidi ya Spain kesho usiku katika mechi ya hatua ya kumi na sita bora. Ivan …
Timu za Italy na Denmark zimekuwa za kwanza kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya Euro 2020, baada ya mchezo mzuri na mkubwa walioonesha katika mchezo wa raundi ya …