Makala nyingine

kama umekuwa mfuataliaji wa michuano ya Euro 2020, basi utakuwa muhumini mkubwa sana wa namna mechi zinavyopanga na matokeo ya utofauti yanavyopatikana. Kama ulishangazwa na hatua ya makundi, subiri 16 …

Baada ya kukuru kakara za hatua ya makundi kunako Euro 2020, Ujerumani imefuzu hatua ya 16 bora. Joachim Low atoa neno kuelekea mchezo dhidi ya Uingereza. Ujerumani watawafata Uingereza Jumanne …

Barcelona iliripoti Jumanne kwamba winga wa Ufaransa Ousmane Dembele atalazimika kufanyiwa upasuaji kwa matibabu juu ya kuondolewa kwa tendon ya biceps femoris kwenye goti lake la kulia. Upasuaji huo utafanyika …

Cristiano Ronaldo amekuja kukosolewa na Hamann kwa uchezaji wake wa sifa wakati Ureno walipofungwa kwa 4-2 dhidi ya Ujerumani siku ya Jumamosi jioni. Pamoja na timu yake kuongoza 1-0, mshambuliaji …

Nahodha wa timu ya Taifa ya North Macedonia – Goran Pandev, ametangaza kuachana na timu ya Taifa baada ya mchezo wa mwisho wa Kundi C (vs Uholanzi) kunako Euro 2020. …

Wawakilishi wa Raphael Varane wanatarajia kukutana na Manchester United wiki hii kwa tuamini la kukamilisha uhamisho wake kwenda Paremier League. Beki huyo wa kati, ambaye kandarasi yake inaisha miezi 12 …

Gareth Bale ameeleza kwamba yupo tayari kurejea Real Madrid wakati huu wa majira ya joto, na amemsifu Carlo Ancelotti na kuelezea kuwa ana mahusiano makubwa na kocha huyo Muitalia. Ingawa …

Siku ya jana ilishuhudia mechi kali sana katika michuano ya Euro 2020, ambapo Germany walikutana na Portugal na maajabu makubwa yakashuhudiwa mapema tu! Katika mechi iliyokuwa na magoli mengi kuliko …

Mchezo wa mpira ni moja ya vyanzo vikubwa sana vya burudani hususan kwa upande wa mashabiki,  na hilo halikuwa tofauti sana katika michuano hii ya Euro 2020. Baada ya mechi …

1 2 3 4 5