Trent Anorld Kukosa Euro 2020 Kisa Majeraha

Mchezaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Uingereza, Trent Alexander Anorld ameondolewa kwenye kikosi cha Uingereza kitakachoshiriki michuano ya EURO 2020 baadae mwezi huu.

Suala limekuja saa chache tu baada ya Trent kupT majeraha ya nyama za paja wakati wa mechi ya kirafiki kati ya Uingereza na Austria, ambapo timu ya Uingereza ilipata ushindi wa 1-0.

Katika mechi hiyo Trent alilazimika kutolewa kabla ya mpira kuisha na kuelekea nje ya uwanja moja kwa moja huku akionesha kuwa na maumivu makali na sura ya mahuzuniko kuacha timu yake uwanjani.

Kocha wa timu ya Uingereza Southgate anatarajiwa kutaja mbadala wa mchezaji huyo baada ya mechi ya kirafiki siku ya Jumapili.

Trent anakuwa mchezaji wa pili kuondolewa kwenye kikosi cha Uingereza baada ya hapo juzi United kutangaza kuwa Greenwood hatoshiriki pia kutokana na majeraha ya muda aliyokuwa nayo.

MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

3 Komentara

  Pole yake

  Jibu

  Pole yake

  Jibu

  Get well soon

  Jibu

Acha ujumbe