Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Patrice Evra amemuhoji kocha wa Arsenal, Mikel Arteta kuhusu kiungo wa timu hiyo Mesut Ozil,32.

Ozil ana mkataba na Arsenal unaomalizika Juni 2021, Mchezaji huyo anaongoza kwa kupokea kitita kikubwa klabuni hapo, pauni 350,000 kwa wiki, huku akiwa hajamuishwa katika cha wachezaji 25 watakaocheza Ligi ya Epl.

Katika msimu ambao washika mtutu wa London wamekuwa wakilalamikia kukosekana kwa ubunifu kwenye eneo la ushambuliaji baada ya kufunga mabao 9 tu kwenye EPL msimu huu, mjerumani huyo bado ameendelea kukalia mninga na hajacheza tangu mwezi Machi.

 

Evra -"Arteta, Ozil Yupo Wapi Tunamuhitaji"

Akizungumza kupitia Sky Sport, Patrice Evra alisema “Tunaongelea kuhusu ubunifu. Daima nimekuwa nikisema iwapo Aubameyang asipofunga basi Arsenal wanakuwa kwenye hati hati.

Tunapaswa kumpa Arteta muda. Kwa klabu kubwa kama Arsenal muda siyo kitu chepesi. Tunaongea kuhusu ubunifu, yuko wapi Ozil? tunacheza mchezo, ‘yuko wapi Wally?’. Tunapaswa kumgeukia Ozil kwa kuwa tunaongelea juu ya suala la ubunifu hivyo tatizo liko wapi?

Ninajua kuna wakati ni mvivu wa kukimbia kurudi kukaba lakini tunazungumzia juu ya ubunifu hapa hivyo Wally yupo wapi? Ozil yupo wapi?” alihoji Evra.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 Tsh kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

28 MAONI

  1. Gunner wamepotezah mtu mbunifu katika timu kwan now timu inaonekana haina namba 10 ambaye mwenye uwezo wa ku assist ndo sababu mpka leo gunner wanashindwa kupata matokeo katika mechi mbili za hv karibu na kuto kufunga goli lolote na kupeleka lawama kwa washambuliaji wake kumbe la hasha washambuliaji wanakosa huduma kutoka kwa viungo wa kuwapa assist za kufunga plz gunner ozil yupo wapi

  2. Kwa kweli umesema sahihi Evra yuko wapi ozil kama ikiwa kocha alimuacha kumjenga kimchezo au kumpa mapumziko ya muda ila kwa sisi mashabiki tunaona kama hajupo kwenye timu mana ni muda mrefu au amepata timu nyingine kwa mkopo atuweke wazi mana tunajua uwezo aliokuwa nao kuisaidia timu ya arsenal

  3. Nikweli awamtendei aki kabisa Ozil kinacho semwa nikweli kabisa sisi kamasisi mashabiki tunaona Kama hayupo kwenye kikosi Ozil anamchango mkubwa Sana Arsenal

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa