Chelsea Yaweka Wazi Kikosi Ambacho Kitawakabili Crystal Palace FA Cup

Klabu ya Chelsea inatarajia kucheza mchezo wa nusu fainali ya mashindano ya FA Cup kwenye dimba la Wembley dakika chache kuanzia sasa na kocha wa klabu hiyo ameshatoa listi ya wachezaji anaotarajia kuanza nao kwenye mchezo huo.

Kwenye kikosi chake leo amewaanzisha wachezaji wengi ambao walifanikiwa kupata ushindi kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya Real Madrid, huku kocha wa Crystal Palace nae akipanga vyema kikosi chake kwa ajiri ya kutafuta nafasi ya kuweza kucheza fainali ya FA Cup na klabu ya Liverpool.

Kikosi cha Chelsea kitachoanza leo(3-4-3):

Mendy, Azplicueta (c), Christensen, Rüdiger | James, Jorginho, Kovacic, Alonso | Mount, Havert na Werner.

Watakao anzia benchi ni Arrizabalaga, Thiago Silva, Sarr, Kanté, Loftus-Cheek, Saúl, Pulisic, Ziyech na Lukaku.

Kikosi cha Crystal Palace kitachoanza leo(4-3-3):

Butland, Ward, Andersen, Guéhi, Mitchell | Schlupp, Kouyaté, McArthur (c) | Eze, Mateta na Zaha.

Watakao anzia benchi ni Guaita, Clyne, Kelly, Tomkins, Milivojevic, Olise, Ayew, Edouard na Benteke.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

Acha ujumbe