Klabu ya Chelsea wamekitaka chama cha soka nchini Uingereza FA kurusu mchezo wa robo fainali dhidi ya Middlesbrough kuchezwa bila ya mashabiki ili kuleta usawa wa kimechezo kutokana na wao kuzuiwa kuuza tiketi kwa mashabiki wao na wageni.

Chelsea kwa sasa inaendeshwa kwa kibali maalumu ili kuweza kumalizia michezo inayowakabili kwenye msimu huu na kuweza kulipa wafanyakazi baada ya miliki wa klabu hiyo kuwekezea vikwazo huku mali zake zikishikiliwa na serikalia ya Uingereza.

Chelsea, Chelsea Wataka FA Cup Kuchezwa Bila ya Mashabiki, Meridianbet

“Tunasikitika kutangaza kuwa  hatutaweza kuuza tiketi kwenye mchezo wa  FA Cup jumamosi dhidi ya Middlesbrough,” waraka wa Chelsea ulisema.

“Japokuwa tumekuwa na mazungumzo ya kina na ofisi ya vikwazo vya kifedha na utekelezaji (OFSI) tarehe ya mwisho wa uuzaji wa tiketi za ugenini zimepita pasipo marekebiso sahihi kufanya na serikali kwenye kibali ambacho kingeruhusu uhudhuriaji wa mashabiki wa Chelsea viwanjani.

Chelsea FC inatambua madhara ya makubwa yatakayowapata Middlesbrough na mashabiki wake, pia mashabiki wetu ambao tayari wamenunua tiketi kabla ya kabla ya katazo, lakini tunaamini hii ni haki kwa ajiri ya pande zote mbili  kutokana na hali ilivyo sasa.

“Tutaendelea kufanya mazungumzo kwa ajiri ya uuzaji wa tiketi na OFSI knyenye michezo mingine ambayo bado tunacheza  na tuna tumai kupata muafaka.”

FA walijibu kwa waraka mfupi ambao ulisomeka: “Tunatambua maombi ya chelsea kucheza kwenye mchezo wa robo fainali ya FA Cup dhidi ya Middlesbrough kucheza pasipo, swala hili litajadiliwa kwenye kikao cha Professional Game Board siku ya jumatano.”


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa