EPL na FA wamefanya kikao na serikali ya Uingereza kuhusu uhalali wa wa kuzuia mauzo ya tiketi kutokana na kuzuia mauzo ya tiketi yasifanyike kwenye michezo yote ya Chelsea ya nyumbani.
Serikali ya Uingereza imemuwekea vikwazo tajiri wa klabu hiyo kutokana kuwa na uhusiano na raisi wa Urusi, ambapo umiliki wake kwenye klabu hiyo umesababisha Chelsea kuwekewa vikwazo huku wakipewa kibali maalumu cha uendeshaji wa timu hiyo.

Leo asubui jumatatu, klabu ya Chelsea wameweka wazi kuwa EPL na FA wamekuwa wakiongeza msukumo ili kuweza kuruhusiwa kuweza kuuza ticket kwa mashabiki wageni ambao watahudhuria michezo ya nyumbani.
“Tunatoa msukumo kwa serikali ili kuruhusu mashabiki waweze kununua tiketi,” waraka wa klabu ya Chelsea ulisema.
“Vikao vinafanyika kila siku kutafuta suruhu. kwa nyongeza EPL na FA pia wanafanya mazungumzo na serikali ili kujua uhali wa kuwazui mashabiki kutokuruhusiwa kuingia uwanjani.
“Tunatambua msongo mkubwa wa mashabiki wanaopitia kwenye swala hii, na tunafanya kila kitu tuwezacho ili kulitatua hili kadri tuwezavyo.”
SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI
Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.



