Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amewashauri wachezaji wake “sleep, sleep, sleep” kulala sana kabla ya mchezo wao dhidi ya Liverpool wa nusu fainali ya FA Cup siku ya jumamosi.

Pep Guardiola mchezo wake wa kesho ni wa pili kukutana na Jurgen Klopp ndani ya siku saba baada ya mchezo wao wa siku ya jumapili iliyopita wa ligi kuu na mchezo wake wa tatu ndani ya wiki moja baada ya mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya tlético Madrid.

Guardiola, Guardiola Awashauri Wachezaji Wake Walale Kadri Wawezavyo, Meridianbet

Ingawa Guardiola sio mpenzi wa kucheza michezo mingi kwa mfurululizo lakini hakutoa malalamiko kwa sababu Man City anacheza mashindano ambayo yote anatafuta nafasi ya kuwa bingwa kwa mashindano yote.

“Inatokea kwa sababu moja, tunapigania kuchukua wa mashindano yote. hiyo ni habari njema, nasema hivyo kwa tabasamu kubwa, sio kwa sababu nina mhemko mkubwa. Nina furaha kuishi hivyo. Sio kwa sababu mtazamo wa mambo lakini ni mtazamo wa dunia kuhusu hayo maswala.

“Angalia nini kimetokea saa mbili, tatu zilizopita kutoka hapa vita kati ya Urusi na Ukraine. Kwaiyo kwa kesho nimewaambia wachezaji wangu, wale vizuri, walale sana, wasinzie sinzie kidogo. walale, walale, walale saa nyingi wawezavyo, kisha tunakula chakula kizuri kesho na saa 3.30 tutakuwa tayari kwa mchezo.” Alisema Guardiola


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa