Mchezaji wa kimataifa kutoka Ureno Bruno Fernandes ametajwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Juni katika ligi ya Premier League ya nchini Uingereza. Bruno anaonekana kuleta changamoto mpya …
Makala nyingine
Pep Guardiola amesema kwamba anataka kumuona Messi akiwa Barcelona. Nyota wa Barcelona Lionel Messi anatarajia kumaliza mkataba wake ifikapo mwaka 2021, lakini kuna dalili za Mshindi huyo wa tuzo ya …
Ole Gunnar Solskjaer amesisistiza kwamba haitaji kusifiwa baada ya Manchester United kufanya vizuri tangu kurejea kwa ligi ya EPL tofauti na msimu ulipoanza. Solskjaer bado yupo kwenye mbio za kufuzu …
Michuano ya kombe la FA nchini Uingereza sasa imefikia katika hatua yake ya nusu fainali. Jumla ya timu nne zimefuzu kushiriki hatua hii inayofuata ya mashindano hayo ili zipatikane timu …
Arsenal imeripotiwa kuwa haitamsajili Dani Ceballos wakati mkopo wake kutoka Real Madrid utakapomalizika – kwani kiungo huyo hajafanya ya kutosha kumvutia meneja wa The Gunners, Mikel Arteta. Ceballos yuko wazi …
Ole Gunnar Solskjaer anatarajia kuona magoli mengi yakifungwa na Marcus Rashford katika klabu ya Manchester United. Mchezaji huyo wa Uingereza amefunga magoli 22 katika timu ya Taifa na klabu kwa …
Jumamosi ya leo United wana mchezo wa Kikombe cha FA huku pia wakizingatia Jumanne wana game ugenini dhidi ya Brighton kwenye Ligi. Kombe la FA linawapa nafasi kubwa Manchester …
Bruno Fernandes anaamini kuna mengi mazuri yanakuja kutoka kwake yeye na kiungo mwenzake Paul Pogba katika timu ya Manchestrer United. Fernandes ameleta mabadiliko makubwa tangu ajiunge na Man U akitokea …
Chelsea wamethibitisha kuwa wamefikia makubaliano na klabu ya RB Leipzig juu ya uhamisho wa mshambuliaji Timo Werner. Werner amesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya €170,000 kwa wiki, …
Winga wa Fc Bournermouth Ryan Fraser ameikataa dili ya kuongeza mkataba wa kipindi kifupi katika mkataba wake unaotarajiwa kumalizika. Mscotiland huyo kwa sasa anatarajia kuondoka katika timu hiyo ilipo chini …
Ukiwa Liverpool usiogope giza lilio mbele ya macho yako wala dhoruba kali pale unapotembea katika mvua, kichwa chako siku zote kitazame juu, huku moyo wako ukibeba tumaini. Tumaini la ushindi, …
Steven Gerrard alikuwa na majibu ya hekima juu ya kauli ya Sir Alex Ferguson kuwa hakumtathmini yeye kama mchezaji wa viwango vya juu sana ukilinganisha na nyota wengine wengi. Kwenye …
Mwamba huyo mwenye miaka 32, na mshindi wa medali nyingi za Dhahabu kwenye mashindano ya Olimpiki, alijaribu kuiangalia bahati yake kwenye soka baada ya kustaafu kwenye michezo ya Riadha. Bolt …
Ni namna gani timu ya ligi kuu au daraja la kwanza au timu yoyote inaweza kuji-brand na kuvutia makampuni mbalimbali kuwekeza kwenye klabu hiyo?. Angetile Osiah kupitia kipindi cha redio …
Mwenyekiti wa kamati ya matibabu wa UEFA anasema michuano inaweza kuanza tena licha ya mwenzake wa FIFA kusema haipaswi kuanza kabla ya Septemba. Mwenyekiti wa kitengo cha Matibabu cha Shirikisho …
Timu 24 zinazoshiriki Ligi daraja la Tatu leo juma nne zimukutana na kufanya majadaliano ya dharura kwa njia ya video – na matokeo ya mkutano huo yanaweza kuwa na athari …
Wakala wa Leroy Sane amewaonya Manchester City na Bayern Munich kugombania saini ya mwanasoka huyo, uhakika wa Sane kubaki Etihad umekua wa kusua sua kwa Zaidi ya mwaka sasa. Mkataba …
Watford walitengeneza historia upya baada ya kipindi kirefu cha kutokufika hatua ya fainali ya kuwania kombe la FA. Waliweza kuwatupa nje ya michuano hiyo wababe, Manchester United baada ya kucheza …
Manchester City imeatoa maamuzi ya kuto kata mishahara ya wafanya kazi wake wa ambao hawachezi mpira (wahudumu wa uwanja na timu) hii ni kutokana na kuibuka kwagonja la Korona (Covid19) …
Old Trafford inatarajia kumrudisha Mshambuliaji wako Alexis Sanches mwisho wa msimu huu, baada ya Sanches kutumikia mkataba wa muda mrefu huko InterMilan, ni kama masihara iliporipotiwa kua Ole Gunnar Solkjer …

