Katika soka mara nyingi umri wa mtu huwa siyo kipimo cha mafanikio yake kabisa bali jitihada zake katika kusukuma mbele gurudumu la soka huangaliwa kwa nafasi kubwa zikiendana na busara …
Makala nyingine
Mwisho wa juma lililo pita uongozi unaosimamia mpira wa miguu nchini Uingeleza umejadili wazo la kumalizia ligi kuu ya Uingeleza kwa mtindo wa kukusanya vilabu vyote katika kambi maalum (KARANTINI) …
Klabu ya Manchester United imesema inaunga mkono hoja ya Mamlaka za mpira nchini Uingereza za kujaribu kumaliza msimu wa Ligi Kuu, Kombe la FA na UEFA, katika kipindi hichi cha …
Kocha wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola alisema kwamba hatojali lolote lile endapo kikosi chake kingemaliza msimu bila kuwa na taji lolote. Kocha huyo ametasema hayo kwa kuona kwamba …
LEO itashuhudiwa fainali ya kombe linalofahamika kwa kuwa na uwekezaji wa aina yake ndani ya taifa la Uingereza ambapo mabingwa wa kombe la ligi, Manchester City wataumana vikali na Watford …
Watford wametengeneza historia upya baada ya kipindi kirefu cha kutokufika hatua hiyo ya fainali. Wamewatupa nje ya michuano hiyo wababe wa Manchester United baada ya kucheza mechi iliyokuwa ya kipekee …
Staa wa Manchester City, Raheem Sterling ameamua kuwafurahisha watoto wa shule aliyosoma zamani, kitaa tunaita Oldi Skuli. Nyota huyu ameamua kuwawezesha watoto katika shule hiyo ambayo aliisoma zamani kuhudhuria gemu …
Michezo ya kombe la FA ilishika kasi huku ikishuhudiwa baadhi ya klabu kubwa zikipata shida mbele ya klabu ambazo zinachukuliwa kuwa na uwezo wa chini. Klabu zenye majina makubwa zimepata …
Baada ya kichapo cha bao 2-1 dhidi ya Wolveshampton meneja wa mda wa Manchester United bwana Ole Gunnar ametoa ahadi kwa mashabiki wa United kuwa watarajie makubwa kwa klabu yao …
Wolverhampton Vs Manchester United Wikiendi Hii! Manchester United bado hawajaridhika baada ya kichapo cha kwanza walichokipokea wakiwa chini ya meneja wao wa mda bwana Ole Gunnar Solskjaer. Wanasafiri kumfuata Wolverhampton …

