Mmiliki wa Nottingham Forest, Evangelos Marinakis anafikiria kumfukuza kocha Steve Cooper kama sehemu ya marekebisho makubwa katika Ligi ya Uingereza. Katika kile kinachoweza kuwa mtikisiko mkubwa katika klabu hiyo, …
Makala nyingine
Shirikisho la mpira wa miguu la uingereza FA leo limethibitisha mechi kuendelea kuchezwa kama zilivyopangwa baada ya kuahirishwa wikiendi hii kwa ajiri kido cha Malkia Elizabeth II. Waraka uliotolewa leo …
Premier League na FA wamethibitisha kuwa michezo yote ya wikiendi hii imeahirishwa kutokana na maombolezo ya msiba wa malkia wa Uingereza Elizabeth II. Waraka wa Premier League: “Kwenye kikao cha …
Siku moja Bernard Morrison atafunga ukurasa wake kwenye soka la Tanzania, utachagua wewe umkumbuke BM3 kwa lipi, ila binafsi nitaikariri kurasa moja nzuri sana kutoka kwa Benny. Kwenye kitabu chake …
Chama cha soka nchini Uingereza FA kimetangaza sheria mpya ambazo zinakwenda kulinda urithi wa klabu zake zote nchini humo ambapo sheria hizo zitatumika kwenye “premier League, EFL, National League [national …
Bruce Buck baada ya kuhudumu kwa miaka 19 katika nafasi ya Uenyeketi kwenye klabu ya Chelsea sasa ataachia nafasi hiyo mwishoni mwa mwezi huu. Tangu mwaka 2003 Buck amekuwa mwenyekiti …
Kocha wa klabu ya Everton Frank Lampard amepigwa faini ya £30,000 kwa kumkosoa mwamuzi aliyechezesha mchezo wa Everton dhidi Liverpool mwezi uliopita kwa kumshtumu mwamuzi huyo kuwa pendelea majogoo kwenye …
Todd Boehly na washirika wamemilikishwa rasmi klabu ya chelsea baada ya kukamilisha hatua zote ambazo serikali na bodi ya ligi waliziweka ili kuweza kuinunua klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya …
Mchezaji ambaye anaichezea klabu ya Crystal Palace kwa mkopo akitokea Chelsea Conor Gallagher amekili kuvunjika moyo baada ya kutokuwepo kwenye mchezo wa nusu fainali ya FA Cup kwenye uwanja wa …
Klabu ya Chelsea inatarajia kucheza mchezo wa nusu fainali ya mashindano ya FA Cup kwenye dimba la Wembley dakika chache kuanzia sasa na kocha wa klabu hiyo ameshatoa listi ya …
Kocha wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola amewashauri wachezaji wake “sleep, sleep, sleep” kulala sana kabla ya mchezo wao dhidi ya Liverpool wa nusu fainali ya FA Cup siku …
Chama cha soka nchini Uingereza FA wamesema wako kwenye mazungumzo na serikali kwa ajiri ya kuiruhusu klabu ya Chelsea kuweza kuuza tiketi kwenye mchezo wa nusu fainali ya FA Cup …
Mashabiki wa Chelsea hawapaswi kuadhibiwa na vikazo vya mmiliki wa klabu hiyo na wanapaswa kuruhusiwa kununua tiketi za mchezo wa nusu fainali ya FA Cup dhidi ya Crystal Palace mwezi …
Mchezaji Mason Mount amedhamiria kushinda taji la ndani ya Uingereza na Chelsea baada ya kujaribu mara tatu na kupoteza katika fainali zote. Kinda huyo ambaye ni zao la akademi ya …
Chelsea wameondoa ombi lao la kutaka kucheza mchezo wao wa robo fainali FA Cup bila ya mashabiki dhidi ya Middlesbrough siku ya jumamosi tarehe 19 machi. Leo mapema klabu ya …
Klabu ya Chelsea wamekitaka chama cha soka nchini Uingereza FA kurusu mchezo wa robo fainali dhidi ya Middlesbrough kuchezwa bila ya mashabiki ili kuleta usawa wa kimechezo kutokana na wao …
EPL na FA wamefanya kikao na serikali ya Uingereza kuhusu uhalali wa wa kuzuia mauzo ya tiketi kutokana na kuzuia mauzo ya tiketi yasifanyike kwenye michezo yote ya Chelsea ya …
Burudani ya soka imeendelea tena viwanjani wiki hii. Middlesbrough au ukipenda waite ‘Boro’ wamendelea kuchana mikeka. Ni wale wale vijana wa Chris Wilder ambao walizamisha jahazi la Manchester United kule …
Kocha wa klabu ya Chelsea Thomas Tuchel amewataka waandishi kuacha kumuuliza maswali kuhusu uvamizi wa ukraine na mpango wa mmiliki wa timu hiyo kuachia timu kwa kwa bodi ya wadhamini. …
Kinda wa klabu ya Chelsea Lewis Hall alicheza mchezo wake wa kwanza kwa timu ya wakubwa na kutajwa nyota wa mchezo amendeleza ubora wake huo na kuendelea kuaminiwa na Tuchel …

