Beki wa Liverpool, Dejan Lovren yupo mbioni kujiunga na club ya Zenit St. Petersburg kwa ada ya pauni 11 milioni. Lovren alijiunga na Liverpool akitokea Southampton mwezi July 2014 kwa …
Makala nyingine
Kocha wa zamani wa Arsenal, Unai Emery ameteuliwa kuwa kocha mpya wa Klabu ya huko La Liga, Villarreal kwa mkataba wa miaka mitatu ijayo. Mhispania huyo mwenye umri wa miaka …
Watford,Bournermouth, na Aston Villa Wanahitaji Kucheza Kufa Kupona katika michezo yao ya kumaliza ligi ya Premier League ili kujinusuru kushuka daraja. Villa itawahitaji wachezaji wake Jack Grealish na Trezeguet kucheza …
Legendari wa Arsenal Denis Berkgamp ameonesha nia ya kurejea katika club ya Arsenal kama mmoja kati ya wakufunzi wa benchi la ufundi. Berkgamp amesema atarudi Arsenal muda sahihi utakapowadia. Bergkamp …
Chelsea Women imekamilisha uhamisho wa kiungo raia wa Canada, Jessie Fleming ambaye ametua Chelsea akitokea klabu ya UCLA Bruins. Fleming mwenye miaka 22 ametua Chelsea na kusaini mkataba wa miaka …
Aston Villa kuendelea na vita ya kufa na kupona kupigania kubaki Ligi Kuu wakati wanapowakaribisha Gunners huko Villa Park saa 04:15 usiku Villa wako nyuma alama tatu kutoka kwenye eneo …
Eric Dier amesaini kandarasi mpya kuendelea kubaki katika klabu ya Tottenham mpaka mwaka 2024. Mchezaji huyo wa England alikuwa amebakisha si zaidi ya mwaka mmoja katika mkataba wake uliyopita na …
Taarifa kutoka Hispania zinadai Dani Ceballos ameanza mazungumzo na raisi wa klabu yake ya Real Madrid, Fiorentino Perez ili kuangalia uwezekano wa kumuongezea mkataba wa kuendelea kusalia Arsenal kwa mkopo. …
Manchester City wako karibu kufikia makubaliano ya uhamisho wa Beki, Nathan Aké kutoka Bournemouth. Kocha wa City, Pep Guardiola anataka kujenga upya eneo la beki kufuatia kusuasua kwa eneo hilo, …
Mlinzi wa Manchester United Eric Bailly ametolewa Hospitali kufuatia kupata majaeraha ya kichwa wakati wa mchezo wa nusu fainali ya FA Cup dhidi ya Chelsea siku ya Jumapili na Man …
Basi ni Meridianbet pekee inakupa Bonasi ya Milioni 300 kwa Jackpot ya timu 15 tu, usisubiri tena Piga *149*10# kwa Tigo pekee ufurahie Jackpot kubwa zaidi Tanzania. Usikae kinyonge kila …
Beki wa kushoto wa Manchester United Luke Shaw ataukosa mchezo wa nusu fainali ya FA Cup utakao ikutanisha timu ya Manchester United dhidi ya Chelsea siku ya Jumapili katika dimba …
Kocha Frank Lampard kuelekea mechi ya Manchester United vs Chelsea kwenye nusu fainali ya Kombe la FA amesema; “Mabeki wangu wanatakiwa kuwa makini sana, kwasababu kwa aina ya wachezaji wenye …
Mikel Arteta anaamini FA Cup haijawahi kuwasumbua kushinda Arsenal ikiwa wanaendakukabiliana na wababe Man City katika nusu fainali ya mashindano hayo. Mara ya mwisho hizi timu mbili zilkutana katika hatua …
Katika mpira wa miguu kumekuwa na sheria inayotaka matokeo ya mwisho kuamuliwa kwa penati vilevile penati hutolewa mchezaji anapochezewa rafu kwenye boksi la timu pinzani. Hapa tunaangalia mechi ambazo zimechezwa …
Arsenal wanafurahisha kuwatizama na ni kama wamekuwa na changamoto mpya katika Premier League mara baada ya kuwa chini ya Mikel Arteta, hii ni kwa mujibu wa Meneja wa klabu ya …
Mbio za kufuzu Champions League na Europa League kwa timu za Premier League Leicester, Chelsea, Manchester United,Wolves,Sheffield United, Tottenham na Burnley zina zidi kupamba moto wote wana ndoto ya kufuzu …
Manchester United wakiwa nyumbani Old Trafford wameshinda mechi mbili tu kati ya mechi zao sita za mwisho za Ligi dhidi ya Southampton Southampton wamepoteza mechi nyingi zaidi (26) na wameruhusu …
Thibaut Courtois ana clean Sheets tatu zaidi kuliko kipa mwingine yeyote katika ligi Kuu tano bora za Ulaya msimu huu. Courtois alirudi Chelsea Mwezi Julai 2014 na msimu wake wa …
Huku Ratiba ya EPL ikionyesha zimebaki mechi 4 tu msimu kumalizika, Chelsea hadi sasa wamekaa nafasi ya 3 alama mbili tu mbele ya Manchester United iliyopo nafasi ya tano, pambano …

