Friday, September 23, 2022

FIFA

simba

Simba Ipo Mbioni Kumalizana na Mbrazil wa Vipers.

0
Klabu ya soka ya Simba inaelezwa ipo mbioni kumalizana na kocha wa klabu ya Vipers mbingwa wa soka nchini Uganda Robertinho Oliviera. Kocha huyo ambaye amekua na msimu bora na klabu hiyo ya nchini Uganda na inaelezwa amewavutia mabosi wa...
simba

Simba Kuelekea Zanzibar Ijumaa.

0
Klabu ya soka ya Simba kupitia msemaji wake bwana Ahmed Ally ameeleza kikosi hicho kitasafiri kesho siku ya Ijumaa kuelekea Visiwani Zanzibar. Katika safari hiyo ya kuelekea Visiwani Zanzibar inaelezwa timu hiyo itacheza michezo miwili ya kirafiki ya kujipima nguvu...
FIFA

FIFA: VAR kutumika Sambamba na ‘Semi-Automated Offside Technology’

0
Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limesema kuwa litaendelea kutumia teknolojia ya VAR sambamba na teknolijia mpya ya utambuzi wa mpira ya kuotea kwenye mashindano ya kombe la dunia yanayotarajiwa kuanza kwenye kipindi cha baridi nchini Qatar mwaka...
mayele

Mayele Apiga Hattrick Yanga Ikiua kwa Mkapa.

0
Mayele Fiston Kalala amefunga magoli matatu kati ya manne waliyoshinda Yanga katika mchezo wa hatua ya awali wa klabu bingwa Afrika uliopigwa katika dimba la Benjamin William Mkapa. Mchezo ambao klabu ya Yanga walikua ndo wageni dhidi ya klabu ya...
wydad casablanca

Wydad Casablanca Kumenyana na Berkane Caf Super Cup.

0
Wydad Casablanca pamoja na klabu ya Rs Berkane watafungua michuano ya Afrika rasmi siku ya jumamosi ya tarehe 10 mwezi wa tisa kwenye Caf super cup. Timu hizi kutoka nchini Morocco zinapata fursa ya kufungua michuano hiyo ya Caf baada...
twiga stars

Twiga Stars Yashinda Afrika Kusini.

0
Twiga Stars timu ya taifa wanawake ya Tanzania imefanikiwa kupata ushindi huko Afrika kusini kwenye michuano inayoendelea huko ya Cosafa. Twiga wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli matatu kwa bila dhidi ya timu ya wanawake ya Comoros ambayo pia inashiriki michuano...
FIFA

FIFA Yamfungia Kiongozi wa Waamuzi Zimbambwe kwa Unyanyasaji wa Waamuzi wa Wanawake Kingono

0
Shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA limemfungia boss wa waamuzi nchini zimbabwe kwa miaka mitano kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono kwa wanawake watatu waamunzi nchini humo. Obert Zhoya amekutwa na hatia ya kutumia nafasi yake kuwanyanyasa kingono wanawake...

Bocco kutolewa kwa Mkopo Ihefu.

0
Nyota na nahodha wa klabu ya Simba Sports Club John Raphael Bocco inaelezwa kuna uwezekano mkubwa akatolewa kwa mkopo katika klabu ya Ihefu kutoka jijini Mbeya. Klabu hiyo iliopanda ligi kuu msimu na kutwaa ubingwa wa ligi daraja la kwanza...
FIFA

FIFA Kubadili Tarehe ya Kombe la Dunia

0
Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA huenda likabadilisha tarehe ya kuanza michuano hiyo baada ya taifa mwenyeji kuomba kubadilishwa kwa tarehe ya kuanza kwa michuano hiyo miezi mitatu kabla ya michuano hiyo kuanza. Mashindano ya kombe la dunia kwa...
Timo Werner Arejea Klabu ya RB Leipzig

Timo Werner Arejea Klabu ya RB Leipzig

0
Straika wa Ujerumani Timo Werner anajinadaa kurudi katika klabu yake ya zamani baada ya klabu ya Chelsea na RB Leipzig kufikia makubaliano ya kitita cha pauni milioni 25. Timo atatua Leipzig siku ya Jumanner kwaajili ya kufanyiwa vipimo ili kukamilshwa...

MOST COMMENTED

Ratiba ya Soka Leo Jumamosi 17/10/2020.

24
RATIBA YA SOKA LEO JUMAMOSI TAREHE 17/10/2020. Ratiba Tanzania Friendly Match 17:00 Simba SC vs Mlandege SC Egypt - Premier League 17:30 Al-Ittihad Al-Sakandary vs El Entag El...

HOT NEWS