Shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA linajianda kuiondoa nchi ya Urusi kwenye mashindano yote ambayo yanaandaliwa na taasisi hiyo, baada ya ndani ya saa 24 kutoa tamko la kuruhusu ushiriki wa timu hiyo ila michezo yao itachezwa nje ya Urusi pasipo mashabiki.

Siku ya jumapili FIFA walitangaza kuiwekea nchi ya urisi vikwazo kupitia timu ya taifa ya Urusi kutokana na uvamizi uliofanywa na rais wa nchi hiyo dhidi ya taifa la Ukraine, baadhi ya vikwazo ni kutokurusiwa kucheza mchezo wowote nchini Urusi na michezo yote utichezwa nje ya taifa hilo na bila mashabiki kutotumia jina la timu ya taifa Urusi.

FIFA

Pia wimbo wa taifa na bendera ya timu ya taifa hili havitaruhusiwa huku wakiwa wanatambulika kama “Football Union of Russia” Vikwazo hivyo viliwekwa baada ya nchi kadhaakugomea kucheza mchezo wowote na nchi hiyo.

Baada ya timu za zinazopinga kucheza na urusi kuzidi huku kukiwa na shinikizo la serikali mbalimbali zikitaka nchi ya Urusi iondolewe kwenye mashindao ya kimataifa na kombe la dunia, FIFA wameamua kukaa na kuanza kufikilia upya kuingezea vikwazo ikiwemo kuondolewa kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka huu.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa