Lewandowski Kufikiliwa Kupewa Tuzo ya Ballon d'Or 2020

Waandaaji wa tuzo za Ballon d’Or wameeleza kuwa wanafikilia kuhusu kumzawadiya Robert Lewandowski  tuzo ya mwaka 2020 baada ya kauli ya Messi aliyotoa kwenye sherehe hizo alipopokea tuzo yake ya saba.

Kutokana na mlipuko wa Uviko-19 mwaka 2020, tuzo za Ballon d’Or hazikuweza kutolewa kwa mchezaji yeyote baada ya waandaji kuzifuta kwa mwaka huo, japokuwa Lewandowski alikuwa kwenye kiwango kizuri akiwa na timu yake ya Bayern aliyoisaidia kuchukua mataji matatu.

Lewandowski“Robert, ulistahili tuzo yako ya Ballon d’Or. Mwaka uliopita, kila mmoja alikubali kuwa wewe ndie ulikuwa mshindi wa hii tuzo, natumai waandaji watakupa Ballon d’Or ya 2020. Wote tunaamini unastahili hiyo na natumai utakuwa nayo nyumbani.” messi

japokuwa na msimu mzuri pia aliweza kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa Bundesliga na kufanikiwa kufunga magoli 55. Pia Lewandowski mpaka sasa amefunga magoli 25 kwenye michezo 20, alikubali kuwa kipindi tuzo zinahairishwa mwaka uliopita alikuwa kwenye kiwango bora kabisa.

Hatuna haraka ya kufanya maamuzi .tunaweza kufikilia hili kwa kina. hatuwezi kuwa na uhakika kama lewandowski angeshinda ballon d’or  mwaka ulipita sababu kulikuwa hakuna kura iliyopigwa.“Alimsema muaandaji wa tuzo pascal ferre


MUDA WA KUJIACHIA NA CARNAVAL JACKPOT

Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe