Makala nyingine

Tangu athibitishwe kuwa kocha mkuu wa Manchester United Ralf Rangnick aliweza kuisimamia United katika mchezo wa EPL katika dimba la Old Trafford siku ya Jumapili dhidi ya Crystal Palace na …

Aston Villa watakuwa wakitafuta kupata ushindi kwenye Premier League pale watakapo waalika Leicester City katika uwanja wa Villa Park siku ya Jumapili saa moja na nusu usiki (19:30 pm) Huu …

Porto na Sporting CP zinakabiliwa na adhabu ya kufungiwa mwaka mmoja kutocheza Ulaya iwapo zitashindwa kulipa madeni ambayo bado haijalipwa kufikia mwisho wa mwezi ujao. UEFA siku ya Ijumaa ilifichua …

Juventus wana matatizo ndani na nje ya uwanja kwa sasa, hivyo Massimiliano Allegri anatafuta suluhu. Kocha huyo wa Kiitaliano anataka wachezaji wapya wafanye nao kazi kwenye Uwanja wa Allianz, lakini …

Klabu ya Chelsea ilikuwa mstari wa mbele katika kinyang’airo cha kuipata saini ya beki wa kati wa Barcelona Ronald Araujo sasa taarifa za hivi karibuni zinadai kwamba Liverpool wapo karibu …

Edinson Cavani ni mmoja wa washambuliaji ambao Joan Laporta yuko nao katika harakati za kuimarisha kikosi cha Barcelona kinachoongozwa na Xavi Hernandez. Ingawa yeye si mlengwa namba moja, atatoa chaguo …

Carlo Ancelotti amedai kuwa rais wa Real Madrid Florentino Perez anajipanga kuleta maboresho katika timu ya Real Madrid hasa katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi. Kocha huyo wa …

1 2 3 20 21 22 23 24 25