Makala nyingine

Ferran Torres ndiye mchezaji wa Barcelona wakati wanatazamia kuimarisha safu yao ya mbele, na wanaweza kuanza kumnunua fowadi huyo wa Manchester City. Wakala wa Mhispania huyo alikuwa katika ofisi za …

Klabu ya Chelsea bado haijakata tamaa kwa mchezaji wa Fiorentina, Federico Chiesa licha ya Juventus kusisitiza Chiesa hauuzwi The Blues bado inaonyesha nia kubwa ya kuitaka huduma ya mchezaji huyo …

Majina ya wachezaji kumi na moja yaliotajwa na FIFA kugombania tuzo ya mchezaji bora wa kiume wa FIFA,  jana jumatatu Lewandowski, Benzema na Jorginho nao wameingia kugombania kinyang’anyiro cha mchezaji …

AFP Sport imemuandikia barua ya kuomba msamaha mlinda lango wa klabu ya Chelsea Edouard Mendy kufuatia kutumia picha yake kwenye habari inayomuhusu Benjamin Mendy mchezaji wa Manchester City anayekabiliwa na …

Paul Merson amesema kwamba Manchester United wameanza vibaya msimu kutokana na kumsajili Christiano Ronaldo anachoamini Merson ni kwamba Ujio wa Chrisano ulikuja kuharibu mipango ya Ole Gunnar Solskjaer. Solskjaer alitimuliwa …

Sergio Ramos Anajandaa kucheza mchezo wake wa kwanza na klabu ya Paris Saint-Germain baada ya kutajwa katika kikosi kitakacho menyana na Manchester City siku ya Jumatano katika mchezo wa Ligi …

Kiungo wa Barcelona Pedri ametajwa kuwa mshindi wa tuzo ya Golden Boy mwaka 2021 na kumbwaga Jude Bellingham wa Borussia Dortmund, Pedri mwenye umri wa miaka 18 anakuwa mchezaji wa …

Baada ya Manchester United kukubali kipigo cha 4-1 kutoka kwa Watford siku ya Jumamosi uongozi wa klabu hiyo ulifika ukomo wa kumvumilia kocha Ole Gunnar Solskjaer na kuamua kuachana kocha …

Klabu ya Manchester United imethibitisha kumfuta kazi kocha Ole Gunnar Solskjaer kufuatia kipigo cha aibu cha 4-1 kutoka kwa Watford ambao wamepanda daraja msimu huu. Michael Carrick ameteuliwa kuwa kocha …

Kocha mkuu wa Chelsea Thomas Tuchel amesisitiza kwamba hakuna mjadala wowote kuhusu kuuzwa  kwa Hakim Ziyech bosi huyo pia amesema kwamba taarifa zote zitengenezwa na watu. Ziyech hajapata uhakika wa …

Timu ya taifa ya Uruguay imemfuta kazi aliyekuwa kocha mkuu wao Oscar Tabarez baada ya kuitumikia kwa muda wa miaka 15. Kocha huyo wa miaka 74 alirejea Uruguay kwa mara …

Wiki ya 12 kunako Premier League hii hapa moja ya mechi za kuvutia siku ya leo Jumamosi ni hii kati ya Liverpool dhidi ya  Arsenal mechi itapigwa katika dimba la …

Mino Raiola wakala Kiungo wa Manchester United Paul Pogba, amesema kwamba mchezaji wake atakuwa kwenye harakati za kuihama klabu ya Premier League kwenye dirisha la uhamisho la mwezi Januari. Mchezaji …

Romelu Lukaku alirejea kwenye mazoezi ya Chelsea siku ya Jumatatu baada ya kukosa mechi tano zilizopita kutokana na jeraha la kifundo cha mguu. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ubelgiji, Lukaku …

Kocha mkuu wa Barcelona Xavi Hernandez anataka kukijenga upya kikosi chake baada ya kuchaguliwa rasmi kuwa kocha wa mkuu mapema hii kufuatia kutimuliwa kwa aliyekuwa kocha mkuu wa The Blaugrana …

Klabu ya Borussia Dortmund inafanya kila njia kuhakikisha kwamba mshambuliaji Erling Haaland anabaki kwa msimu mmoja zaidi kabla kandarasi yake kuacha kufanya kazi majira ya joto 2022. Vilabu vingi barani …

1 2 3 21 22 23 24 25