Makala nyingine

Baada ya miaka mitano kupita tangu aondoke hatimaye Dani Alves amerejea katika klabu ya Barcelona kwa mara nyingine kwa uhamisho huru. Beki huyo wa kulia (38) ataanza mazoezi na timu …

Baada ya Steven Gerrard kuwapa mkono wa kwa heri sasa Rangers wanatafuta kocha mbadala ili kuendeleza wimbo mzuri ambao Gerrard aliuanzisha na Ronald Koeman anaonekana kuwa mtu sahihi Ibrox Stadium …

Vilabu vya Premier League Vinapinga kwa kauli moja mipango ya FIFA ya kupanga upya kalenda ya mechi kuanzia 2024, ambayo itajumuisha Kombe la Dunia linalofanyika kila baada ya miaka miwili. …

Lionel Messi alikosa mechi mbili za PSG sababu ya kukabiliwa na majeraha ya goti lakini sasa yupo imara kucheza na timu ya taifa ya Argentina dhidi ya Uruguay katika mechi …

Nuno Espirito Santo ameelezea kwamba “Mpira wa miguu ni mchezo usiyo na huruma” lakini anaendelea mbele kuangalia changamoto mpya baada ya kutimuliwa na Tottenham wiki iliyopita. Kocha huyo wa raia …

Antonio Conte hana udanganyifu wowote kuhusu changamoto anayokumbana nayo katika kujaribu kuirejesha Tottenham kwenye njia yao ya kushinda. Spurs wanashika nafasi ya tisa kwenye Ligi ya Premia, wakiwa wameshinda mara …

Sepp Blatter na Michael Platini wameshitakiwa kwa ubadhirifu na kutokana na matumizi mabaya ya ofisi walioufanya pindi wakiwa kwenye ofisi za taasisi zao walizokuwa wakiziongoza. Wawili hao wanatumikia kifungo cha …

1 2 3 22 23 24 25