Mchezaji wa klabu ya Real Madrid Vinicius Jr alifanikiwa kufunga hat-trick yake ya kwanza katika maisha yake ya soka pale Los Blancos walipo ibuka na ushindi wa 6-0 dhidi ya Levante siku ya Alahimsi.

Licha ya Madrid kutwaa taji la LaLiga lakini waliendeleza ubabe kwa ushindi huo mnono na Vinicius hawezi kuisau mechi hio kwani ilimletea historia mpya katika safari ya soka lake.

Vinicius ambaye amefikisha  umri wa miaka 21 amefunga mabao 21 msimu huu kwenye michuano yote vile vile amesaidia katika mabao mengine 21 msimu huu.

“Kila mtu amesnisaidia sana,” alisema Vinicius.

“Hakuna njia bora ya kujiandaa na fainali huko Paris.

“Carlo Ancelotti  aliniuliza kama nataka kusalia na nilimwambia nataka kufunga hat-trick.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa