Mshirika wa Sparring, Johnny Fisher amesema Bondia, Tyson Fury ndiye “Bondia aliyekamilika”,bondia huyo ambaye ambaye anatarajiwa kupambana na Deontay Wilder.

 

fisher, Fisher : Tyson Fury ni Bondia Aliyekamilika., Meridianbet

Tyson Fury atatetea ubingwa wa uzito wa juu wa WBC ambao alimpokonya Wilder katika pambano lao la tatu mnamo Oktoba 9 huko Las Vegas.

Fury anafanya mazoezi Morecambe wiki hii na ameandikisha ‘the Romford Bull’, matarajio ya uzani mzito na rekodi ya 3-0.

Kuelekea pambano hilo Fisher alisema: “Fury ni mrefu na ni rahisi lakini huwa anakaa karibu yako.

“Ana njia hii ya kukushinikiza bila kufanya kazi kubwa kwa kupita saizi yake kubwa, umbo lake, anatomy yake.

“Shinikizo, ustadi, mapigo ya ngumi, pembe anazotupa mikono yake sio kama mtu mwenye uzito wa kawaida.

“Nibondia aliyekamilika[ana kila kitu] – anaweza kusogea, anaweza kupiga ngumi, ana nguvu, ana ubongo mwepesi, urefu na uwezo wa kufikia. Ni ndoto ya kutisha ulingoni!” aliongeza Fisher.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa