Nyumbani Football

Football

FIFA Watangaza Sheria Mpya za Mkopo

0
Shirikisho la mpira duniani FIFA limetangaza sheria mpya ambazo zitakuwa zinazibiti wachezaji wanaotelewa kwa mkopo kwa timu ambao hawatatakiwa kuzidi wachezaji sita. Sheria mpya zilizopendekezwa ba shirikisho lampira duniani FIFA zinztzrajiwa kupigiwa kura ya kupata kibali cha ruhusa ya kuanza...
Dörner

Tanzia: Dörner Kocha wa Zamani wa Al Ahly Afariki Dunia

0
Kocha wa zamani wa klabu ya Al Ahly na mchezaji wa kimataifa wa Ujerumani mashariki Hans-Jürgen “Dixie” Dörner amefariki dunia alikiwa na miaka 70 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Dörner ambaye maisha yake yote ameichezea klabu ya Dynamo Dresden...
Olympique Marseille

Olympique Marseille Wapingwa Rungu Na Fifa.

0
Sheria ni msumeno. Olympique Marseille wameingia kwenye anga za Fifa. Rungu la sheria limewaangukia. HAKUNA KUSAJILI kwa mwaka mmoja. Kama kuna timu inajua ladha halisi ya kufungiwa usajili, basi ni Chelsea. Walipitia kipindi kigumu baada ya kufungukiwa kufanya usajili wa...
Aubameyang

Aubameyang Ruksa Kurudi Arsenal

0
Kocha mkuu  wa timu ya taifa ya Gabon amemruhuhu mshamuliaji wake Pierre-Emerick Aubameyang kuondoka kwenye michuano ya AFCON na kurudi klabuni kwake ili aende akajiuguze baada ya kupata maambukizi ya Uviko-19. Vyombo mbali mbali vimeripoti kuwa alipewa ruhusa kutokana na...
Vikosi Fainali ya Spanish Super Cup

Vikosi Fainali ya Spanish Super Cup

0
Leo ndiyo ile siku ambayo Real Madrid itamenyana na Athletic Bilbao katika fainali ya Spanish Super Cup Jumapili saa tatu na nusu usiku( 9:30 pm) saa za Afrika Mashariki ndani ya dimba la King Fahd International Stadium, huku pande...
Nigeria Watinga 16 Bora Michuano ya AFCON

Nigeria Watinga 16 Bora Michuano ya AFCON

0
Nigeria imepata nafasi ya kufuzu katika hatua inayofuata ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Cameroon. Super Eagles waliilaza Sudan 3-1 Jumamosi na sasa wanaongoza Kundi D. Beki wa Nigeria William Troost-Ekong alisisitiza dhamira yake ya kushinda mashindano...

Coutinho: Nili ‘Miss’ Premier League

0
Philippe Coutinho amesema kwamba aliikumbuka sana ligi ya Premia baada ya mchezaji huyo mpya wa Aston Villa kucheza mechi yake ya kwanza na kufunga goli la kusawazisha katika mchezo wa sare siku ya Jumamosi dhidi ya Manchester United. Mashetani wekundu...
uardiola: Huwa Najifunza Vitu kwa Tuchel

Guardiola: Huwa Najifunza Vitu kwa Tuchel

0
Kocha mkuu wa Manchester City Pep Guardiola amejitokeza kwenye vyombo vya habari na kumpa sifa kocha wa Chelsea Thomas Tuchel kuwa ni moja ya walimu ambao huwa anajifunza vitu kutoka kwao. Guardiola ambaye alikuwa anaugua COVID-19 na nafasi yake kuchukuliwa...
Dest Anaitaka Barca Xavi Hana Mipango Naye

Dest Anaitaka Barca Xavi Hana Mipango Naye

0
Hatima ya Beki wa Barcelona Sergino Dest ipo matatani baada ya kocha mpya wa Barcelona Xavi Hernandez kuonyesha hana mipango naye kwenye timu yake na anaangazia kumuuza lakini mlinzi huyo anataka kuendelea kubaki Camp Nou. Klabu za Bayern Munich na...
https://meridianbetsport.co.tz/?s=Manchester+City+Pep+Guardiola

Uchambuzi EPL Wiki ya 22: Manchester City vs Chelsea

0
Mechi za wiki ya 22 kunako Premier League zinaendelea leo Jumamosi ambapo macho ya mashabiki wa kabumbu yataelekezwa katika dimba la Etihad Stadium Manchester City wakiwakaribisha wapinzani wa karibu Chelsea saa 9:30 alasiri. City wapo juu kwa pointi 10 mbele...

MOST COMMENTED

NBA Play-Offs: Vigogo Kikaangoni

41
Kunako anga la mchezo wa kikapu, michezo ya NBA Play Offs inaendelea kushika hatamu. Timu mbalimbali zikiendelea kuitafuta tiketi ya kuendelea kufuzu michuano hiyo. Katika...

HOT NEWS