Friday, September 23, 2022
Nyumbani Football AFCON 2021

AFCON 2021

Manzoki ni Mnyamaa.

0
Taarifa za ndani zinaeleza klabu ya Simba Sports imemalizana rasmi na straika la magoli kutoka kwa mabingwa wa Uganda Vipers United Cesar Lobi Manzoki. Klabu ya Simba imekubali kutoa kiasi cha dola laki moja ambayo ni sawa na milioni...
Senegal

Senegal Wapata Rungu la FIFA

0
Bingwa wa kombe la mataifa huru ya Africa Senegal wamepigwa faini na kufungiwa mchezo mmoja ambao itawapasa kucheza bila mashabiki kutokana na utovu wa nidhamu uliofanywa na mashabiki wao kwenye mchezo wa kufuzu kombe la dunia dhidi ya Misri. Shirikisho...
Klopp: Salah Yupo Tayari Kuwakabili Leicester Alhamisi Hii

Klopp: Salah Yupo Tayari Kuwakabili Leicester Alhamisi Hii

0
Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah amedai kwamba yupo tayari kurejea dimbani kuwakabili Leicester City siku ya Alhamisi siku nne tu baada ya kutoka kupoteza fainali ya AFCON hili limethibitishwa kocha wa Liverpool Jurgen Klopp. Salah na Misri walipoteza fainali kwa...

James Ajiunga na Chelsea Kuelekea Mchezo wa Club World Cup

0
Reece James alijumuishwa katika kikosi cha Chelsea kwa ajili ya Kombe la Dunia la Vilabu, kilichosafiri hadi Abu Dhabi Jumapili licha ya Thomas Tuchel kusema atakosa michuano hiyo. James hakutarajiwa kurejea mapema baada ya kuuguza jeraha la misuli ya paja,...
AFCON

AFCON: Historia ya Michuano ya Mataifa Huru ya Afrika

0
AFCON, Michuano ya mataifa huru ya Afrika yalianzishwa mwaka 1957 huku ikishirikisha timu nne ila ni timu tatu ndizo zilizoweza shiriki nazo ni Misri, Sudan na Ethiopia wakati Afrika kusini ikishindwa kushiriki kutokana na machafuko ya ubaguzi wa rangi. AFCON...
Kocha wa Misri Aomba Fainali ya AFCON Ichezwe Jumatatu

Kocha wa Misri Aomba Fainali ya AFCON Ichezwe Jumatatu

0
Kocha msaidizi wa Misri Diaa al-Sayed ametoa wito kwa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika siku ya Jumapili dhidi ya  Senegal kucheleweshwa kwa siku moja ili kuipa timu yake mapumziko zaidi. Misri, ambao ni washindi mara saba, waliwafunga wenyeji...
Malawi

Malawi Walalamika Kutohudumiwa Vizuri AFCON

0
Kocha wa timu ya taifa ya Malawi Mario Marinica amewakosoa waandaji wa michuano hiyo kutokana na huduma mbovu walizokuwa wanapatiwa timu ndogo kulinganisha na timu kubwa kwenye mashindano hayo. Wachezaji wa Malawi walilamika kuwa huduma walizokuwa wanapewa katika hoteli waliyofikia...
Aubameyang

Aubameyang Ruksa Kurudi Arsenal

0
Kocha mkuu  wa timu ya taifa ya Gabon amemruhuhu mshamuliaji wake Pierre-Emerick Aubameyang kuondoka kwenye michuano ya AFCON na kurudi klabuni kwake ili aende akajiuguze baada ya kupata maambukizi ya Uviko-19. Vyombo mbali mbali vimeripoti kuwa alipewa ruhusa kutokana na...
Nigeria Watinga 16 Bora Michuano ya AFCON

Nigeria Watinga 16 Bora Michuano ya AFCON

0
Nigeria imepata nafasi ya kufuzu katika hatua inayofuata ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Cameroon. Super Eagles waliilaza Sudan 3-1 Jumamosi na sasa wanaongoza Kundi D. Beki wa Nigeria William Troost-Ekong alisisitiza dhamira yake ya kushinda mashindano...
AFCON

AFCON: Referee Amaliza Mchezo Kabla ya Muda

0
AFCON, kwenye mchezo kati ya Tunisia na Mali referee amemaliza mpira sekunde kumi kabla ya dakika tisini kufika na kusababisha kuleta sintofahamu kwa wachezaji na Tunisia ambao walikuwa nyuma kwa goli moja. Mali walikuwa wanaongoza kwa 1-0 baada ya Ibrahima...

MOST COMMENTED

Kieran Trippier Atua St James’ Park.

0
Hatimaye, Kieran Trippier amerejea Uingereza. Safari hii, atawatumikia mashabiki wa Newcastle United kule St James' Park. Trippier anarejea kwenye EPL akitokea Atletico Madrid ambapo alikwenda...
Kuna Watu Bado Wanamtaka

Kuna Watu Bado Wanamtaka

HOT NEWS