Kocha wa klabu ya CSKA Sofia Alan Pardew ameamua kuachana na klabu hiyo kufuatia kutokea vitendo kibaguzi ambavyo vinafanywa na  mashabiki wa klabu hiyo, ambapo mchezo wa mwisho wa mwezi ulioisha walifanya vitendo hivyo.

Kulingana na taarifa, baadhi ya wachezaji wa CSKA Sofia walifanyiwa vitendo vya kibaguzi na walirushiwa ndizi na mashabiki wa klabu hiyo baada ya mchezo wa May 19 dhidi ya Botev Plovdiv.

Alan Pardew
Alan Pardew

Kwenye waraka wa CSKA Sofia kupitia mtandao wao wa klabu, Alan Pardew alisema: “Ilikuwa ni heshima mimi kuwa sehemu ya klabu na kuitumikia, kwa bahati mbaya, muda wangu umekweisha .

“Matukio kabla na baada ya mechi dhidi ya  Botev hayakubaliki kwangu, kwa msidizi wangu Alex Dyer, au wachezaji wetu. sababu hakuna mtu aliyehoji baada ya mechi kwamba kilichoyupa hasira hasira ni kuwa tukio lile lilizidi kuongozeka.

“Wachezaji wetu waliamu kucheza tu nje ya umanifu ni kuilinda klabu. Kikundi kidogo cha watu waliojiunga na mashabiki walijaribu kuihujumu mechi sio ninavyotaka kuingoza na kuiwakilisha timu.

“Hakika,hii dio njia shihi ya kwa manufaa ya  CSKA, kwasababu hii klabu ina stahili zaidi.”

Alan Pardew alishawai kuwa kocha wa klabu ya Newcastle, na alianza kazi  CSKA November 2020 kama mkurugenzi wa ufundi na baadae kuchukua majukumu ya kuinoa klabu hiyo


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa