Frank Lampard Apigwa Faini na FA
Kocha wa klabu ya Everton Frank Lampard amepigwa faini ya £30,000 kwa kumkosoa mwamuzi aliyechezesha mchezo wa Everton dhidi Liverpool mwezi uliopita kwa kumshtumu mwamuzi huyo kuwa pendelea majogoo kwenye mchezo huo ambao walipoteza.
Mapema mwezi huu, chama cha soka...